Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Habari
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Portuguese Português
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Iran
  • Mashariki ya Kati
  • Afrika
  • Picha
  • Iran na Afrika
  • Products

Sala ya Ijumaa

  • Ayatullah Khatami: Safari ya Rais Bashar al-Assad nchini Iran ilikuwa ya kimkakati

    Ayatullah Khatami: Safari ya Rais Bashar al-Assad nchini Iran ilikuwa ya kimkakati

    May 13, 2022 11:16

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, safari ya hivi karibuni ya Rais Bashar al-Assad wa Syria nchini Iran ilikuwa ya kimkakati.

  • Maimamu wa Ijumaa Iran: SEPAH ni mwiba kwa adui na tumaini kwa Waislamu wote

    Maimamu wa Ijumaa Iran: SEPAH ni mwiba kwa adui na tumaini kwa Waislamu wote

    Apr 23, 2022 02:54

    Maimamu wa Sala za Ijumaa zilizosaliwa jana kote nchini Iran walisema katika khutba zao kuwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ni mwiba katika macho ya maadui na ni tumaini jema kwa kila Muislamu ulimwenguni.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Maandamano ya Siku ya Quds yanamtia kiwewe adui Mzayuni

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Maandamano ya Siku ya Quds yanamtia kiwewe adui Mzayuni

    Apr 22, 2022 11:30

    Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa ya hapa jijini Tehran amesisitizia wajibu wa kujitokeza kwa wingi wananchi wa Iran katika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani na kusema kuwa, maandamano hayo yanamtia kiwewe adui.

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran akosoa ubaguzi wa nchi za Magharibi katika kadhia ya Ukraine

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran akosoa ubaguzi wa nchi za Magharibi katika kadhia ya Ukraine

    Mar 11, 2022 11:50

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amekosoa sera za kibaguzi za nchi za Magharibi za kuwatambua wazugu na watu weupe kutoka Ukraine kuwa ndio boza zaidi ya watu wa rangi nyingine na kusema hilo ni doa jeusi na la kufedhehesha.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Mapinduzi ya Kiislamu, sawa na Ashura na Ghadir ni akiba isiyomalizika

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Mapinduzi ya Kiislamu, sawa na Ashura na Ghadir ni akiba isiyomalizika

    Feb 04, 2022 11:56

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran amesema: "Mapinduzi ya Kiislamu sawa na matukio ya Ashura na Ghadir ni akiba isiyomalizika na inapaswa kutumiwa ipasavyo."

  • Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran atoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran atoa onyo kali kwa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Dec 31, 2021 12:54

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema kuwa, kama utawala haramu wa Kizayuni wa Israel utathubutu kufanya kosa dogokabisa, vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vitatoa jibu kali dhidi yake ambalo litakuwa ni la kuumiza.

  • Ayatullah Khatami: Taifa la Iran halitokubali chochote ghairi ya kuondolewa vikwazo vyote

    Ayatullah Khatami: Taifa la Iran halitokubali chochote ghairi ya kuondolewa vikwazo vyote

    Dec 03, 2021 11:52

    Khatibu wa Muda wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesisitiza kuwa, taifa la Iran halitokubaliana na chochote katika mazungumzo yanayoendelea mjini Vienna Austria ghairi ya kuondolewa vikwazo vyote vya kidhulma lilivyowekewa taifa hili la Kiislamu na madola ya kibeberu.

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran: Nchi za Ulaya zisitoe mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa ya utawala wa Kizayuni

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa mjini Tehran: Nchi za Ulaya zisitoe mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa ya utawala wa Kizayuni

    Nov 26, 2021 11:19

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amezinasihi nchi za Ulaya kutotoa mhanga maslahi yao ya kitaifa kwa manufaa na malengo haramu ya watawala wa Marekani na utawala haramu wa Israel.

  • Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mabeberu hawana lengo isipokuwa kuvuruga amani

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mabeberu hawana lengo isipokuwa kuvuruga amani

    Oct 29, 2021 11:40

    Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa, harakati zinazofanywa na mabeberu kwa sasa zinalenga kuvuruga amani na usalama.

  • Kufanyika swala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti wa Hagia Sophia

    Kufanyika swala ya kwanza ya Ijumaa katika msikiti wa Hagia Sophia

    Jul 26, 2020 06:32

    Sala ya kwanza ya Ijumaa ilisaliwa Ijumaa katika msitiki wa Hagia Sophia nchini Uturuki tarehe 24 mwezi huu wa Saba baada ya miaka 86 kwa kuhudhuriwa na rais, viongozi wa serikali na pia wananchi wa nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 20167 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Iran
    Mashariki ya Kati
    Afrika
    Picha
    Iran na Afrika
    Products
Radio
    Vipindi
    Hifadhi
    Darsa ya Qur'ani
    Frikwensi
    Tovuti Kongwe
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS