-
UNICEF: Watoto milioni 8 hatarini kufariki dunia kutokana na uzito mdogo
Jun 24, 2022 07:47Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Watoto UNICEF limeonya kuwa, takriban watoto milioni nane walio na umri wa chini ya miaka mitano katika nchi 15 zinazokabiliwa na majanga wako katika hatari ya kifo kutokana na uzito mdogo kupindukia endapo hawatapata haraka matibabu ya lishe na huduma zinazotakiwa.
-
UNICEF yataka shule zilizofungwa kwa corona zifunguliwe kote ulimwenguni
Sep 16, 2021 12:17Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (Unicef) limezitaka mamlaka zinazohusika na elimu katika kona zote za dunia zihakikishe kuwa zinafungua haraka shule zilizokuwa zimefungwa kutokana na UVIKO-19.
-
UNICEF yatoa ripoti ya kusikitisha kuhusu mateso ya watoto wakimbizi
May 07, 2020 00:40Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (Unicef) umetoa ripoti ya kusikitisha ya mwaka 2019 kuhusu hali mbaya na mateso ya watoto wasio na makazi kutokana na mapigano katika maeneo tofauti duniani.
-
UNICEF: Watoto 7,300 wameuawa nchini Yemen tokea 2015
May 17, 2019 02:30Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema watoto wapatao 7,300 wameuawa nchini Yemen katika vita na mashambulizi yanayoendelea kufanywa na Saudi Arabia na washirika wake tokea mwaka 2015 hadi sasa.
-
Indhari ya Unicef kuhusu hali mbaya ya watoto wa Afghanistan
Nov 28, 2018 07:39Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umeonya kuhusu kuendelea kuwa mbaya hali ya watoto wa Afghanistan, ambao wanakodolewa macho na ghasia na umwagaji damu kila uchao.
-
UN: Mapigano Libya yawaweka watoto laki 5 katika hatari kubwa
Sep 25, 2018 07:58Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umetadharisha kuwa, watoto laki tano wapo katika hatari kubwa ya kupoteza maisha kutokana na mapigano yaliyoshtadi katika mji mkuu wa Libya, Tripoli.
-
Unicef: Katika kila dakika 3, binti mmoja anaambukizwa virusi vya HIV
Jul 26, 2018 07:41Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umesema mabinti na wanawake wenye umri kati ya miaka 15 na 19 wanajenga thuluthi mbili ya watu walioambukizwa virusi hatari vya HIV mwaka jana 2017.
-
Unicef: Watoto zaidi ya elfu 5 wameuawa, kujeruhiwa katika hujuma za Saudia, Yemen
Jul 04, 2018 03:50Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) ametahadharisha kuhusu hali ya kutisha inayowakabili watoto wa Yemen kutokana na mashambulizi ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya nchi hiyo maskini jirani yake.
-
UNICEF: Nchi za Afrika zinaongoza kwa ndoa za utotoni
Mar 06, 2018 08:07Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa Unicef umesema ingawaje tabia ya kuozwa kwa lazima mabinti wadogo imepungua duniani, lakini nchi za chini ya Jangwa la Sahara barani Afrika kwa sasa zinaongoza kwa uozo huo.
-
UNICEF yataka watoto wanaotumia intaneti walindwe
Dec 13, 2017 03:55Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto UNICEF linasema wakati fursa ya matumizi ya mtandao wa intaneti ikiongezeka ni lazima dunia hii ya kidijitali iyafanye matumizi hayo kuwa salama kwa watoto ili yaweze kunufaisha hasa wale walio katika hatari zaidi.