-
Syria: Silaha za nyuklia za Israel zinatishia amani magharibi mwa Asia
Jan 28, 2022 10:31Mwakilishi wa Syria katika Ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amezitaja silaha za nyuklia za utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni tishio kubwa kwa usalama na amani katika eneo la Magharibi mwa Asia.
-
Iran: Mauaji ya Hiroshima ni kumbukumbu ya jinai za US dhidi ya binadamu
Aug 08, 2021 07:46Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema mashambulizi ya mabomu ya atomiki yaliyofanywa na Kikosi cha Anga cha Jeshi la Marekani dhidi ya miji ya Hiroshima na Nagasaki nchini Japan katika Vita Vya Pili Vya Dunia ndiyo jinai kubwa zaidi dhidi ya binadamu iliyowahi kuhuhudiwa katika uso wa dunia.
-
Russia yasisitiza udharura wa kuepusha vita vya silaha za nyuklia
Aug 07, 2020 06:22Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Russia amekosoa siasa za kindumakuwili za nchi za Magharibi hususan Marekani katika suala la kudhibiti silaha za nyuklia na kusema kuwa, kuna ulazima wa kufanyika juhudi za kuzuia uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia.
-
Guterres atahadharisha kuhusu hatari ya silaha za nyuklia
Aug 06, 2020 09:32Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuwa hatari ya silaha za nyuklia inaongezeka siku baada ya nyingine.
-
Mwakilishi wa Iran UN: Marekani imekiuka mkataba wa NPT
Sep 10, 2019 02:38Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa ametilia mkazo jukumu la pamoja la kupiga marufuku aina yoyote ya majaribio ya uripuaji silaha za nyuklia na kueleza kwamba Marekani imekiuka mkataba wa kuzuia uundaji na uenezaji silaha za nyuklia (NPT) kwa kujitoa kwenye makubaliano yanayohusiana na mkataba huo na kwa kuanzisha mashindano ya kuzifanya silaha hizo za nyuklia kuwa za kisasa zaidi.
-
Zarif: Madola pekee yenye mabomu ya nyuklia Mashariki ya Kati ni Marekani na Israel
Aug 29, 2018 15:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika ukurasa wake wa Twitter kwa mnasaba wa "Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Majaribio ya Silaha za Nyuklia" kwamba, licha ya kuwa dunia hivi sasa inaadhibimisha siku ya kimataifa ya kupambana na majaribio ya silaha za nyuklia, lakini madola pekee yenye mabomu ya atomiki katika eneo letu hili (Mashariki ya Kati) ni Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Foreign Policy: Saudi Arabia inataka kutengeneza silaha za nyuklia
Mar 06, 2018 02:27Jarida la Foreign Policy la Marekani limeripoti kuwa, Saudi Arabia inataka kutengeneza silaha za nyuklia ikishirikiana na Marekani.
-
Korea Kaskazini: Haitowezekana kuachana na silaha za nyuklia tulizozipata kwa tabu
Nov 15, 2017 04:43Serikali ya Korea Kaskazini imetangaza kwamba, ni suala lisilowezekana kuachana na uwezo wa silaha zake za nyuklia uliopatikana kwa tabu, kwa sababu tu ya mashinikizo na vikwazo dhidi yake.
-
Kim Jong-un: Vikwazo vya UNSC havitaizuia Korea Kaskazini kuendelea kuunda silaha zake
Oct 09, 2017 15:00Kiongozi wa Korea Kaskazini, Kim Jong-un amesema kuwa nchi yake itaendelea kujiimarisha kwa silaha za nyuklia na makombora ya balestiki ya kuvuka mabara.
-
Trump: Marekani inapaswa kuwa mbele katika uwanja wa silaha za nyuklia
Feb 24, 2017 04:51Rais Donald Trump wa Marekani ametoa matamshi yanayogongana akitoa wito wa kuzuiwa uenezaji wa silaha za nyuklia na wakati huo huo akisisitiza kuwa, Washington daima inapaswa kuwa na maghala makubwa zaidi ya silaha za nyuklia kuliko nchi nyingine zote duniani.