-
UN yataka Kenya, Somalia na Ethiopia zisaidiwe kukabili ukame
May 21, 2022 12:30Umoja wa Mataifa umetoa mwito wa dharura wa kupatikana fedha ili kusaidia mataifa ya Pembe ya Afrika ambayo kwa miezi yameshuhudia hali ya ukame inayotishia kuwa mbaya zaidi.
-
Marekani kutuma wanajeshi Somalia kwa kisingizio cha kupambana na kundi la kigaidi la al Shabab
May 17, 2022 07:33Katika kuendeleza hatua zake za kijeshi na sera za uingliaji kati , Rais Joe Biden wa Marekani amesema kuwa washington ina mpango wa kutuma tena wanajeshi wa nchi hiyo huko Somalia kwa lengo la kile alichokitaka kuwa kupambana na kundi la kigaidi la al Shabab lenye mfungamano na mtandao wa al Qaida.
-
Wagombea 39 kuwania kiti cha urais nchini Somalia
May 12, 2022 02:21Wagombea wapatao 39 wamejitokeza kuwania kiti cha urais nchini Somalia uchaguzi ambao umepangwa kufanyika mwishoni mwa juma hili.
-
Shambulio la kundi la kigaidi la as-Shabaab dhidi ya askari wa kulinda amani nchini Somalia
May 05, 2022 05:30Jeshi la Burundi limetangaza kuwa askari wake 10 wa kulinda amani wanaohudumu nchini Somalia chini ya mwavuli wa Umoja wa Afrika wameuawa katika shambulio lililotekelezwa na kundi la kigaidi la as-Shabaab katika kambi ya askari wa umoja huo.
-
Wakimbizi wa Kisomali wakabiliwa na hali ngumu katika mfungo wa Ramadhani
Apr 18, 2022 13:05Zaidi ya wakimbizi milioni moja wa Kisomali hususan wale wanaoishi katika kambi za nje ya mji mkuu, Mogadishu, wanakabiliwa na hali ngumu katika mfungo huu wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
AU kumtimua mkuu wa kikosi chake cha mpito nchini Somalia
Apr 17, 2022 08:07Mkuu wa kikosi kipya cha kijeshi cha mpito (ATMIS) kilichochukuwa nafasi ya Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) yupo katika mashinikizo ya kutakiwa ajiuzulu baada ya kushtadi msuguano wa kidiplomasia kati yake na serikali ya Mogadishu.
-
UN: Watoto 350,000 wa Somalia katika hatari ya kufa njaa
Apr 15, 2022 04:00Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, watoto 350,000 wapo katika nchi ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa linaloisakama Somalia.
-
UN: Tunatumai uthabiti na usalama utarejea nchini Somalia karibuni
Apr 13, 2022 07:48Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ana matumaini ya kurejeshwa uthabiti, amani na usalama nchini Somalia haraka iwezekanavyo.
-
UN: Somalia iko hatarini kukumbwa na njaa
Apr 09, 2022 12:16Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa Somalia kwa sasa iko katika hatari ya kukumbwa na njaa kutokana na ukame, bei ya juu ya vyakula na ukosefu wa misaada ya kibinadamu.
-
Magaidi 7 wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia eneo la Mudug
Apr 04, 2022 11:23Kikosi maalumu cha Danab cha Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) kimefanikiwa kuwaangamiza wanachama saba wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katikati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.