-
UN: Tunatumai uthabiti na usalama utarejea nchini Somalia karibuni
Apr 13, 2022 07:48Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ana matumaini ya kurejeshwa uthabiti, amani na usalama nchini Somalia haraka iwezekanavyo.
-
UN: Somalia iko hatarini kukumbwa na njaa
Apr 09, 2022 12:16Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameonya kuwa Somalia kwa sasa iko katika hatari ya kukumbwa na njaa kutokana na ukame, bei ya juu ya vyakula na ukosefu wa misaada ya kibinadamu.
-
Magaidi 7 wa al-Shabaab waangamizwa na jeshi la Somalia eneo la Mudug
Apr 04, 2022 11:23Kikosi maalumu cha Danab cha Jeshi la Taifa la Somalia (SNA) kimefanikiwa kuwaangamiza wanachama saba wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab katikati ya nchi hiyo ya Pembe ya Afrika.
-
Somalia yakaribisha kuundwa kikosi cha mpito cha Umoja wa Afrika
Apr 02, 2022 02:36Serikali ya Federali ya Somalia imepongeza hatua ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kukipangua Kikosi cha Kijeshi cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (AMISOM) na kuunda kikosi kipya cha amani cha mpito cha ATMIS.
-
Waliouawa katika hujuma pacha za mabomu Somalia wafika 48
Mar 25, 2022 02:30Watu 48 wameuawa katika mashambulizi pacha ya mabomu katika mji wa Beledweyne katika eneo la Hiran, katikati ya Somalia. Watu wenine 108 wamejeruhiwa katika mahambulizi hayo pacha.
-
Magaidi 2 wa al-Shabaab wauawa wakijaribu kushambulia uwanja wa ndege Somalia
Mar 24, 2022 03:30Wanachama wawili wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la al-Shabaab wameangamizwa walipojaribu kushambulia Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Aden Adde katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu.
-
Zaidi ya watu 800,000 wamekuwa wakimbizi kutokana na ukame huko Ethiopia na Somalia
Mar 10, 2022 04:11Msemaji wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa, ukame na uhaba wa chakula umewafanya watu zaidi ya 845,000 kuwa wakimbizi huko Ethiopia na Somalia.
-
Somalia yaakhirisha tena muhula wa kumalizika uchaguzi wa Bunge
Feb 26, 2022 02:38Kwa mara nyingine tena, Somalia imetangaza kusogeza mbele muhula wa mwisho uliokuwa umewekwa kwa ajili ya kumalizika uchaguzi wa Bunge nchini humo.
-
IMF kuinyima fedha Somalia iwapo itaakhirisha tena uchaguzi
Feb 23, 2022 02:37Shirika la Fedha Duniani (IMF) limesema huenda likasimamisha ushirikiano wake wa kifedha na serikali ya federali ya Somalia katika kipindi cha miezi mitatu ijayo, iwapo nchi hiyo ya Pembe ya Afrika itaakhirisha tena uchaguzi.
-
Watu 14 wauawa baada ya gaidi kujiripua kwa bomu Somalia
Feb 20, 2022 07:58Kwa akali watu 14 wamepoteza maisha baada ya gaidi aliyekuwa amejifunga bomu kujiripua katika eneo lenye shughuli nyingi katikati mwa Somalia.