-
Syria yawaachia huru mamia ya wafungwa
May 04, 2022 03:10Wizara ya Sheria ya Syria imetangaza kuwa, serikali imewaachia huru mamia ya wafungwa waliokuwa wakituhumiwa kuwa na mfungamano na makundi ya kigaidi na kitakfiri na au kushiriki katika hujuma za kigaidi nchini humo.
-
Syria: Habari ya jaribio la mauaji dhidi ya Rais Bashar al-Assad siyo ya kweli
May 02, 2022 10:41Vyombo vya habari vya Syria vimetangaza kuwa, habari ya jaribio la mauaji dhidi ya Rais Bashar al-Assad wa nchi hiyo haina ukweli wowote.
-
Milipuko yaripotiwa karibu na kambi ya askari vamizi wa Marekani huko Syria
May 01, 2022 09:22Milipuko kadhaa imeripotiwa karibu na kambi kubwa zaidi ya wanajeshi vamizi wa Marekani huko kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Faisal Miqdad: Marekani na nchi za Magharibi zinafanya njama za kuangamiza suala la Palestina
Apr 22, 2022 07:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa, nchi za Magharibi zinaendelea kula njama za kuvuruga na kuharibu kadhia ya ukombozi wa Palestina na haki thabiti za watu wake, hususan haki ya wakimbizi wa Kipalestina kurejea katika nchi yao na kuongeza kuwa, Damascus inafuatilia kwa wasiwas matukio hatari yanayojiri huko Quds ( Jerusalem) inayokaliwa kwa mabavu.
-
Wamorocco, Wabahrain, Waturuki waandamana kuitetea Aqsa, Syria, Kuwait zatoa kauli
Apr 17, 2022 08:17Wananchi wa Morocco wamefanya maandamano makubwa katika mji mkuu wa nchi hiyo, Rabat kutangaza uungaji mkono wao kwa wananchi wa Palestina, sanjari na kulaani kitendo cha utawala haramu wa Israel cha kuuvamia na kuuvunjia heshima Msikiti wa al-Aqsa.
-
Marekani yafanya mazoezi ya kijeshi Syria kinyume cha sheria
Apr 10, 2022 07:46Askari wa Jeshi la Marekani wamefanya mazoezi ya pamoja ya kijeshi na kundi la wanamgambo wanaojulikana kama Kurdish-Arab Syrian Democratic Forces (SDF) katika kisima cha mafuta cha Al-Omar katika eneo la Deir Ez-Zor katika ardhi ya Syria.
-
Kuendelea uchokozi na uvamizi wa Uturuki dhidi ya ardhi za Syria na Iraq
Mar 29, 2022 01:25Sera za nje za serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki katika suala la uhusiano wa nchi hiyo na nchi zingine za eneo na dunia kwa ujumla ni za kutafakariwa mno kwa sababu haifahamiki ni malengo gani hasa wanayofuatilia viongozi wa Ankara.
-
Syria yaitaka UN iibebeshe dhima Israel kwa jinai zake Golan
Mar 26, 2022 13:37Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito kwa Baraza la Haki za Binadamu la umoja huo liuwajibishe na kuubebesha dhima utawala wa Kizayuni wa Israel kwa jinai ulizozifanya katika Miinuko ya Golan ya Syria.
-
Iran: Vikosi vamizi vya Marekani viondoke Syria mara moja
Mar 26, 2022 02:23Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema vikosi vya Marekani na waitifaki wake vinapaswa kuondoka Syria haraka iwezekanavyo.
-
Ziara ya tatu ya Amir-Abdollahian nchini Syria katika kipindi cha miezi 7
Mar 25, 2022 08:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Hossein Amir-Abdollahian, Jumatano, tarehe 23 Machi alitembelea kwa mara ya tatu nchi ya Syria katika kipindi cha miezi 7 iliyopita.