-
Watangazaji wanawake Afghanistan wafunika nyuso baada ya kukaidi agizo la Taliban kwa siku moja
May 23, 2022 03:44Watangazaji wanawake wa televisheni nchini Afghanistan wameridhia kutangaza wakiwa wamefunika nyuso zao kulingana na agizo lililotolewa na serikali ya Taliban, baada ya kukaidi kufanya hivyo kwa muda wa siku moja.
-
Taliban: Watangazaji wanawake wanapotangaza katika televisheni wafunike nyuso zao
May 20, 2022 07:43Serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan imetoa amri kwa watangazaji wanawake wanaofanya kazi katika chaneli za televisheni za nchi hiyo wafunike sura zao wakati wanapotangaza.
-
Kiongozi wa Taliban atoa agizo jipya kuhusu Hijabu kwa wanawake wa Afghanistan
May 08, 2022 12:16Kiongozi Mkuu wa Taliban nchini Afghanistan Haibatullah Akhunzada ametoa agizo lenye vipengee vinne la sheria mpya kuhusu mipaka ya vazi la Hijabu kwa wanawake wa nchi hiyo.
-
Misimamo ya Taliban mkabala wa mlipuko wa kigaidi huko Kabul
May 01, 2022 14:31Msemaji wa serikali ya Taliban amelaani shambulizi la kigaidi lililolenga msikiti mmoja katika mji mkuu wa Afghanistan, Kabul siku ya Ijumaa iliyopita. Kundi la Taliban limelitaja shambulizi hilo ambalo liliua na kujeruhi makumi ya waumini, kuwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu.
-
Iran: Tuko tayari kuisaidia Afghanistan kulima mazao ya chakula badala ya mihadarati
Apr 06, 2022 02:51Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Afghanistan umesema kuwa, Tehran iko tayari kuisaidia Afghanistan kulima mazao ya chakula badala ya mmea wa mpopi unaozalisha mihadarati na madawa haramu ya kulevya.
-
Taliban yapiga marufuku uzalishaji wa mihadarati nchini Afghanistan
Apr 04, 2022 02:34Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepasisha sheria ya kupiga marufuku kilimo cha mipopi na uzalishaji wa aina nyingine zote za dawa za kulevya.
-
Taliban yatangaza mpango wa kuwezesha kufunguliwa tena skuli za wasichana Afghanistan
Mar 26, 2022 02:24Msemaji wa wizara ya elimu ya serikali ya Taliban nchini Afghanistan ametangaza kuwa, mpango wa kuwezesha kufunguliwa tena skuli za wasichana kuanzia darasa la saba umekabidhiwa kwa rais wa serikali ya nchi hiyo.
-
Taliban yafanya kikao muhimu kujadili mabadiliko serikalini na kutambuliwa kimataifa
Mar 23, 2022 07:28Kundi la Taliban nchini Afghanistan limefanya kikao muhimu cha kujadili mabadiliko ya baraza lake la mawaziri na nini kifanyike ili serikali ya kundi hilo itambuliwe na kukubaliwa kimataifa.
-
Sisitizo la serikali ya Taliban la kufuatiliwa mafaili ya viongozi wa zamani wa Afghanistan
Mar 03, 2022 11:19Rais wa serikali ya mpito ya Afghanistan ametoa wito wa kufuatiliwa mafaili ya viongozi wa serikali ya zamani ya nchi hiyo.
-
Taliban: Tumeanza kutambuliwa kwa kufunguliwa baadhi ya balozi za kigeni Kabul
Feb 24, 2022 03:03Kiongozi mwandamizi wa Taliban amesema, kufunguliwa tena baadhi ya balozi za kigeni katika mji mkuu Kabul ni ishara ya kutambuliwa kundi hilo na jamii ya kimataifa.