-
Taliban yafanya kikao muhimu kujadili mabadiliko serikalini na kutambuliwa kimataifa
Mar 23, 2022 07:28Kundi la Taliban nchini Afghanistan limefanya kikao muhimu cha kujadili mabadiliko ya baraza lake la mawaziri na nini kifanyike ili serikali ya kundi hilo itambuliwe na kukubaliwa kimataifa.
-
Sisitizo la serikali ya Taliban la kufuatiliwa mafaili ya viongozi wa zamani wa Afghanistan
Mar 03, 2022 11:19Rais wa serikali ya mpito ya Afghanistan ametoa wito wa kufuatiliwa mafaili ya viongozi wa serikali ya zamani ya nchi hiyo.
-
Taliban: Tumeanza kutambuliwa kwa kufunguliwa baadhi ya balozi za kigeni Kabul
Feb 24, 2022 03:03Kiongozi mwandamizi wa Taliban amesema, kufunguliwa tena baadhi ya balozi za kigeni katika mji mkuu Kabul ni ishara ya kutambuliwa kundi hilo na jamii ya kimataifa.
-
Msimamo wa mwakilishi maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan kuhusu kuendelezwa diplomasia na Taliban
Feb 22, 2022 14:44Baada ya kupita miezi sita tangu wanamgambo wa Taliban wachukue madaraka nchini Afghanistan, mjumbe maalumu wa Marekani katika masuala ya Afghanistan amesema kuwa, kuendelezwa mawasiliano na Taliban na kufanyika mazungumzo baina ya Waafghani ndio chaguo bora zaidi na ni kwa maslahi ya pande zote nchini humo pamoja na jamii ya kimataifa.
-
Taliban yatishia kuangalia upya sera za Afghanistan kwa Marekani
Feb 16, 2022 02:35Serikali ya Taliban nchini Afghansitan imetishia kuangalia upya misimamo na sera zake kwa Marekani, iwapo Washington itakataa kuachia mabilioni ya fedha za Waafghani ilizozuilia.
-
Kupinga Taliban kuhusu hali ya wananchi wa Afghanistan
Feb 04, 2022 02:35Kundi la Taliban limepinga pakubwa ripoti mbalimbali zilizotolewa kuhusu hali ya mambo inayowakabili wananchi wa Afghanistan na halipo tayari kukubali uhakika wa mambo wa jamii ya nchi hiyo hasa baada ya kundi hilo kuchukua madaraka huko Afghanistan.
-
Taliban yaitaka US iheshimu wito wa UN wa kuachia fedha za Afghanistan
Jan 15, 2022 00:46Serikali ya Taliban imeitaka Washington itekeleze mwito uliotolewa hivi karibuni na Umoja wa Mataifa, wa kuachia fedha za Afghanistan zilizozuiwa nchini Marekani.
-
Rais wa zamani wa Afghanistan: Muda umewadia kwa dunia kushirikiana na Taliban
Dec 26, 2021 11:07Rais wa zamani wa Afghanistan Hamid Karzai amesema, muda umewadia kwa jamii ya kimataifa kushirikiana na Taliban na kuepusha vifo vya mamilioni ya raia wa Afghanistan kutokana na baa la njaa.
-
Radiamali ya Taliban kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan
Dec 22, 2021 02:36Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya Taliban ametoa radiamali kwa matamshi ya Waziri Mkuu wa Pakistan akisema kuwa: Hakuna mtu atakayeruhusiwa kutumia ardhi ya Afghanistan dhidi ya mataifa mengine.
-
Ulegezaji kamba katika misimamo ya Taliban, kutoka maneno hadi vitendo
Dec 21, 2021 02:42Msimamizi wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Afghanistan katika serikali ya mpito ya Taliban amesema kuwa kushirikishwa Waafghani wote katika muundo wa serikali ya nchi hiyo ni jambo la lazima.