• Sri Lanka yatakiwa kuacha kuchoma maiti za Waislamu

  Jan 10, 2021 04:21

  Jumuiya 16 zisizo za kiserikali nchini Australia zimetoa wito wa kushinikizwa serikali ya Sri Lanka ili isitishe kuchoma moto maiti za Waislamu wanaoaga dunia kutokana na virusi vya corona nchini Sri Lanka.

 • Takwa la harakati ya Black Lives Matter kwa Joe Biden

  Nov 10, 2020 08:02

  Ukatili mkubwa na ubaguzi wa rangi wa kimfumo dhidi ya watu weusi daima vimekuwa miongoni mwa sifa kuu za jamii ya Mareikani tangu nchi hiyo ilipoasisiwa. Wamarekani weusi wamekuwa wakikumbana na sulubu na mashaka mengi ya aina mbalimbali za ubaguzi na ukatili licha ya miaka mingi ya mapambano ya kupigania haki zao.

 • Erdogan: Dunia ipige vita uadui dhidi ya Uislamu sawa ilivyo katika suala la kupiga vita Uyahudi

  Nov 03, 2020 02:45

  Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ameitaka dunia ijifunze na kupata somo na ibra kutokana na uzembe wa jamii ya kimataifa iliyoacha kuzuia mauaji ya kimbari ya Waislamu wa Bosnia Herzegovina na kusisitiza kuwa, dunia inapaswa kupiga marufuku na kupambana na chuki na uhasama dhidi ya Uislamu kama ilivyopambana na chuki dhidi ya Uyahudi baada ya Holocaust (yanayodaiwa kuwa mauaji ya Mayahudi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia).

 • Washington Post: Kuwakandamiza wapigakura weusi kunairejesha Marekani karne ya 19

  Oct 19, 2020 15:40

  Gazeti la Washington Post la Marekani limechapisha makala inayokituhumu chama tawala cha Republican kinachoongozwa na Donald Trump kuwa kinawakandamiza wapigakura weusi na kwamba kina malengo sawa na yale ya makundi ya wabaguzi wa rangi yanayoamini kuwa watu weupe ndio kizazi bora zaidi kuliko watu wa rangi nyingine.

 • Newsweek: Serikali ya Trump inaficha ugaidi wa ndani unaofanywa na wazungu

  Sep 25, 2020 08:23

  Jarida la kila wiki la Newsweek nchini Marekani limechapisha makala ya mshauri wa zamani wa Wizara ya Ulinzi ya nchi hiyo (Pentagon) Jasmine el Gamal ambaye amesema kuwa licha ya kupita mwaka mmoja sasa tangu Wizara ya Usalama wa Ndani ya Marekani iliyoanzishwa baada ya mashambulizi ya Septemba 11 mwaka 2001 kutangaza azma yake ya kupambana na ugaidi wa ndani na vitisho vya wazungu wenye misimamo mikali, lakini uchunguzi unaonesha kuwa, wizara hiyo haijachukua hatua yoyote katika uwanja huo.

 • Umoja wa Mataifa wakosoa ukandamizaji unaofanywa dhidi ya waandamanaji nchini Marekani

  Jul 26, 2020 02:40

  Maandamano makubwa na yasiyo na mfano wake ambayo yamekuwa yakifanyika nchini Marekani tokea kuuawa kinyama kwa Mmarekani mweusi George Floyd katika mji wa Minnesota katika jimbo la Minneapolis tarehe 25 Mei, yangali yanaendelea licha ya ukandamizaji mkubwa unaofanywa na serikali ya Trump dhidi ya waandamanaji.

 • Mbunge wa Pakistan mwenye asili ya Tanzania alaani ubaguzi wa rangi Marekani

  Jun 28, 2020 08:17

  Mbunge mmoja wa Pakistan mwenye asili ya Afrika amekosoa vikali vitendo vya utumiaji mabavu na ubaguzi wa rangi dhidi ya raia wa Marekani wenye asili ya Afrika.

 • Binti wa Luther King awataka Wamarekani kuendeleza maandamano ya kupinga ubaguzi

  Jun 24, 2020 13:15

  Binti wa aliyekuwa kiongozi wa harakati ya kupigania haki za kiraia za Wamarekani wenye asili ya Afrika, Martin Luther King, amewataka raia wa nchi hiyo waendeleze maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi nchini Marekani hadi uadilifu utakapotendeka.

 • Baraza la Haki la UN lapasisha azimio la kulaani ubaguzi wa rangi

  Jun 20, 2020 06:43

  Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limepasisha azimio la kulaani vikali ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi dhidi ya raia weusi katika nchi mbali mbali duniani.

 • Bachelet: Ubaguzi wa rangi nchini Marekani unasikitisha

  Jun 18, 2020 08:20

  Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa amesema anasikitishwa sana na ubaguzi wa rangi wa kimfumo nchini Marekani.