-
Mustakabali wenye giza wa Macron; uchaguzi wa Bunge Ufaransa waingia duru ya pili
Jun 15, 2022 02:12Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Bunge nchini Ufaransa yanaonyesha kuwa, hakuna muungano wowote uliofanikiwa kupata asilimia 50 ya viti na kwa muktadha huo uchaguzi huo umeingia duru ya pili.
-
Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri la Macron, marekebisho yanayolenga kutafuta kukubalika na umma
May 22, 2022 02:57Mwezi mmoja baada ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini Ufaransa Emmanuel Macron Rais wa nchi hiyo akiwa na lengo la kutafuta uungaji mkono na kuwaridhisha wapigakura na hivyo serikalii yake iungwe mkono zaidi, amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri.
-
Tathmini ya uchaguzi wa Lebanon kwa mtazamo wa Sayyid Hassan Nasrullah
May 20, 2022 09:08Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa chama cha Hizbullah cha nchini Lebanon, juzi usiku alitoa hutuba akibainisha tathmini yake kuhusu matokeo ya uchaguzi wa hivi karibu wa bunge la nchi hiyo.
-
Ukosoaji wa Sayyid Nasrullah kwa wanaoziandama silaha za muqawama badala ya matatizo ya uchumi, katika kampeni za uchaguzi wa Lebanon
May 11, 2022 10:42Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon Sayyid Hassan Nasrullah, amesema kuhusu matokeo ya uchunguzi wa maoni uliofanywa na vituo kadhaa vya utafiti kwamba dukuduku la akthari ya watu wa Lebanon si silaha za Muqawama bali ni hali zao za maisha.
-
Kuwa tayari Lebanon kwa ajili ya zoezi la uchaguzi wa Bunge
May 05, 2022 08:03Bassam Mawlawi, Waziri wa Mambo ya Ndani wa Lebanon ametangaza kuwa, maandalizi ya lazima kwa ajili ya kuendesha zoezi la uchaguzi wa Bunge nchini humo katika muda uliopangwa yamekamilika.
-
Dr. Tulia Ackson achaguliwa kuwa spika mpya wa Bunge la Tanzania
Feb 01, 2022 13:33Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limemchagua Dk Tulia Ackson kuwa spika wa bunge hilo.
-
Umoja wa Mataifa waunga mkono kufanyika uchaguzi wa Libya katika wakati mwafaka
Dec 24, 2021 11:38Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amehimiza kufanyika uchaguzi mkuu wa Bunge na Rais katika tarehe mwafaka nchini Libya.
-
Zaidi ya Walibya elfu tano wajitokeza kugombea viti vya Bunge nchini Libya
Dec 10, 2021 13:07Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Libya imetangaza kuwa, faili la kuandikisha majina ya wagombea wa viti vya Bunge limefungwa na kwamba zaidi ya Walibya elfu tano wamejiandikisha kwa ajili ya kugombea viti hivyo.
-
Zoezi la kuhesabu kura kwa mkono katika vituo vya uchaguzi vya mikoa minne ya Iraq lamalizika
Nov 05, 2021 07:30Tume ya Uchaguzi ya Iraq imetangaza kuwa zoezi la kuhesabu kura kwa mkono katika vituo ya uchaguzi wa bunge vilivyozusha mzozo vya mikoa minne iliyosalia ya Diyala, Babel, Karbala na Najaf limemalizika.
-
Baraza la tume ya uchaguzi Iraq lapinga kura kuhesabiwa tena kwa mkono
Oct 23, 2021 07:49Baraza la tume ya uchaguzi ya Iraq limekataa kura za uchaguzi katika mikoa mbalimbali ya nchi hiyo zihesabiwe tena kwa mkono licha ya kuthibitisha kuwa kuna makosa na kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi huo.