Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Habari
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Portuguese Português
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Iran
  • Mashariki ya Kati
  • Afrika
  • Picha
  • Products

Uchaguzi wa Rais wa Marekani

  • Marekani katika lindi la machafuko ya kisiasa

    Jan 07, 2021 09:56

    Machafuko, fujo, vurugu, uporaji, ufyatuaji risasi, mauaji, ugaidi, mapinduzi, kukabiliana na mapinduzi; bali kwa kifupi; kashfa ya taifa, ndiyo maneno ambayo kila moja linafasiri matukio ya aibu yaliyotokea jana Jumatano, Januari 6, 2021 nchini Marekani ndani jengo la Congress

  • Radiamali za viongozi duniani kufuatia ghasia za wafuasi wa Trump ndani ya Kongresi; Johnson asema ni fedheha

    Jan 07, 2021 03:22

    Kitendo cha kusitishwa kikao cha pamoja cha bunge la wawakilishi na seneti ya Marekani katika kikao cha kujadili matokeo ya kura za urais baada ya wafuasi wa Donald Trump kufanya ghasia na kuvamia ndani ya jengo la Kongresi kimeplekea viongozi mbalimbali duniani kutoa radiamali zao.

  • Trump amtaka makamu wake asiidhinishe matokeo ya kura za Electoral College

    Dec 26, 2020 02:41

    Rais Donald Trump wa Marekani amemtaka makamu wake Mike Pence asiidhinishe matokeo ya kura za urais zilizopigwa na wawakilishi wateule wa majimbo ya nchi hiyo, Electoral College.

  • Mshauri wa Usalama wa Taifa amtaka Trump atangaze serikali ya kijeshi nchini Marekani

    Dec 19, 2020 02:57

    Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani, amemshauri rais wa nchi hiyo, Donald Trump atangaze serikali ya kijeshi ili aweze kulazimisha kurejewa uchaguzi wa rais nchini humo.

  • Mahakama ya Kilele ya Marekani yapinga ombi la Trump la kugeuza matokeo ya uchaguzi wa rais

    Dec 13, 2020 10:48

    Baada ya kupita zaidi ya siku 40 tokea ufanyike uchaguzi wa rais nchini Marekani, Rais Donald Trump ambaye alikuwa mgombea wa chama cha Republican amekuwa akitaka matokeo ya uchaguzi yanayoonesha kuwa mshindani wake wa chama cha upinzani cha Democrat Joe Biden ameshinda, yabatilishwe. Trump hadi sasa amekataa kukubali kushindwa.

  • Trump: Uchaguzi wa Marekani ulikuwa ni uvurundo mtupu

    Dec 08, 2020 07:19

    Rais wa Marekani amesema kuwa, uchaguzi wa Novemba 3, 2020 nchini humo ulikuwa uvundo na uvurundo mtupu.

  • Trump amejikusanyia dola milioni 170 kwa kudai udanganyifu katika uchaguzi wa Marekani

    Dec 02, 2020 07:01

    Vyombo vya habari vya Magharibi vimetangaza kuwa, rais wa Marekani, Donald Trump hadi sasa ameshajikusanyia ziadi ya dola milioni 170 kutoka kwa wafuasi wake tangu alipoanza kushikilia kufanyika udaganyifu wa kura nchini Marekani. Fedha hizo zote zimeingizwa kwenye mfuko binafsi wa Trump alioupajina la Mfuko wa Kamati ya Misaada ya Pamoja.

  • Juhudi za Trump za kutaka kubadilisha matokeo ya uchaguzi wa Marekani

    Nov 22, 2020 02:42

    Hata baada ya kupita wiki mbili tokea ufanyike uchaguzi mkuu wa rais wa Marekani na matokeo yake kutangazwa, lakini bado Rais Donald Trump wa nchi hiyo anafanya juhudi kubwa za kubadilisha matokeo hayo.

  • Kukiri Obama kwamba jamii ya Marekani ina mpasuko na mgawanyiko wa kambi mbili

    Nov 17, 2020 07:30

    Mgogoro wa kisiasa ambao haujawahi kushuhudiwa, unaoendelea hivi sasa ndani ya Marekani, ambao umetokana na rais wa nchi hiyo Donald Trump aliyegombea urais kwa tiketi ya chama cha Republican kukataa kwamba ameshindwa katika kinyang'anyiro hicho cha 2020 na Joe Biden aliyegombea kwa tiketi ya chama cha Democratic, umepelekea kutolewa tahadhari na indhari kubwa juu ya hatari ya kugawanyika nchi hiyo.

  • Wafuasi na wapinzani wa Trump wapigana Washington, Marekani

    Nov 15, 2020 08:09

    Maandamano ya wafuasi wa rais wa Marekani, Donald Trump mjini Washington DC yameingia kwenye machafuko baada ya kuzuka mapigano baina yao na watu wanaopinga ubaguzi wa rangi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 20167 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Iran
    Mashariki ya Kati
    Afrika
    Picha
    Products
Radio
    Vipindi
    Hifadhi
    Darsa ya Qur'ani
    Frikwensi
    Tovuti Kongwe
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS