-
Mabadiliko katika Baraza la Mawaziri la Macron, marekebisho yanayolenga kutafuta kukubalika na umma
May 22, 2022 02:57Mwezi mmoja baada ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini Ufaransa Emmanuel Macron Rais wa nchi hiyo akiwa na lengo la kutafuta uungaji mkono na kuwaridhisha wapigakura na hivyo serikalii yake iungwe mkono zaidi, amelifanyia mabadiliko baraza lake la mawaziri.
-
Kufichuliwa jinai za Ufaransa baada ya kugunduliwa makaburi ya umati nchini Mali
May 17, 2022 09:08Kugunduliwa makaburi ya umati jirani na kambi ya jeshi ya Ufaransa nchini Mali kumezidi kuweka wazi siku baada ya siku ukubwa wa jinai za Wafaransa katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Kuendelea ukosoaji wa Algeria wa mauaji ya kinyama ya Ufaransa dhidi ya Waalgeria
May 10, 2022 08:56Licha ya kupita miongo kadhaa tangu Ufaransa ifanyye mauaji ya kinyama dhidi ya wananchi wa Algeria, lakini mafaili ya jinai hiyo yangali wazi na yanaweza kufuatiliwa.
-
Algeria kufuatilia jinai za Ufaransa nchini humo wakati wa ukoloni
May 09, 2022 10:57Rais wa Algeria amekosoa vikali mauaji ya kimbari yaliyotokelezwa dhidi ya taifa hilo na dola la kikoloni la Ufaransa na kuongeza kuwa, Algeria itafuatilia faili la jinai za Ufaransa nchini humo katika zama za ukoloni na kuwa haiko tayari kufanya muamala kuhusu kadhia hiyo.
-
Changamoto za ndani na za nje za Macron katika duru ya pili ya urais nchini Ufaransa
Apr 27, 2022 02:38Kushinda tena Emmanuel Macron Rais wa Ufaransa katika uchaguzi wa Rais wa mwaka huu kumeibua maswali mengi kuhusiana na sababu hasa ya wananchi wa nchi hiyo kumpigia kura mwanasiasa huyo.
-
Macron ashinda uchaguzi wa rais wa Ufaransa
Apr 25, 2022 08:36Emmanuel Macron jana Jumapili, Aprili 24, alichaguliwa tena katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais kuiongoza Ufaransa, na hivyo kuchukua hatamu za nchi hiyo kubwa ya Ulaya kwa kipindi kingine cha miaka 5.
-
Uchunguzi wa maoni: Macron atashinda uchaguzi wa rais Ufaransa
Apr 23, 2022 12:23Matokeo ya uchunguzi wa maoni kuhusu duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa Ufaransa yaliyochapishwa hadi kumalizika kwa muda wa kisheria wa kampeni za wagombea wawili wa uchaguzi huo yameonesha kuwa Emmanel Macron atashinda kiti cha rais.
-
Mali yagundua kaburi la umati kwenye kambi ya zamani ya kijeshi ya Ufaransa
Apr 23, 2022 07:26Jeshi la Mali limetangaza kuwa, limegundua kaburi la umati kwenye kambi ya zamani ya kijeshi ya Ufaransa katika eneo la Gossi la kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Le Pen awaahidi wapiga kura kupiga marufuku hijabu na kuchinja wanyama Kiislamu Ufaransa
Apr 14, 2022 02:24Mgombea urais wa Ufaransa kwa tikiti ya chama chenye siasa kali cha mrengo wa kuli, Marine Le Pen, amesema iwapo atashinda kiti cha urais, atapiga marufuku kuchinja wanyama kwa njia ya Kiislamu ya Kiyahudi, na vilevile vazi la staha la mwanamke wa Kiislamu, hijabu.
-
Duru ya pili ya uchaguzi Ufaransa; mchuano baina ya Macron na Le Pen
Apr 12, 2022 11:04Uchaguzi wa Rais nchini Ufaransa umemalizika huku Emmanuel Macron na Marine Le Pen wakiingia katika duru ya pili. Kwa utaratibu huo, siku 14 zijazo yaani tarehe 24 mwezi huu hatima ya uchaguzi huo itajulikana na mshindi wa duru hiyo atapata tiketi ya kuingia katika ikulu ya Elizeh.