-
Maelfu ya shule zimefungwa kutokana na ugaidi Burkina Faso
Jan 07, 2022 03:30Maelfu ya shule zimefungwa nchini Burkina Faso kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya magenge mbalimbali ya wabeba silaha wenye mfungamano na mtandao wa kigaidi wa al Qaida na Daesh.
-
Iraq na tatizo sugu la ugaidi
Dec 31, 2021 12:32Japokuwa mtandao wa kigaidi wa DAESH (ISIS) umetokomezwa nchini Iraq, lakini kutokana na sababu tofauti, kitisho cha ugaidi kingali kipo nchini humo.
-
Iran: Tuko tayari kushirikiana na nchi za magharibi mwa Afrika kupambana na ugaidi
Nov 16, 2021 11:43Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu y Iran ameelezea kusikitishwa kwake na kupoteza maisha na kujeruhiuwa idadi kubwa ya raia wa Burkina Faso katika shambulio la hivi karibuni la kigaidi na kusisitiza kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na nchi za magharibi mwa Afrika katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Wanajeshi kadhaa wa Mali wauawa katika mashambulizi tofauti
Nov 01, 2021 03:08Jeshi la Mali limetangaza habari ya kuuawa askari saba wa nchi hiyo katika mashambulizi mawili tofauti huko magharibi mwa nchi.
-
Shambulio jipya la bomu laua na kujeruhi watu kadhaa nchini Uganda
Oct 26, 2021 08:08Mtu mmoja ameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika mlipuko mwingine uliolenga basi la abiria nchini Uganda.
-
Rais wa Uganda: Mlipuko wa bomu Kampala lilikuwa shambulio la kigaidi
Oct 24, 2021 15:15Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema mlipuko wa bomu uliotokea usiku wa kuamkia leo katika mji mkuu Kampala huenda lilikuwa shambulio la kigaidi.
-
Mohseni-Eje'i : Iran itawafuatilia na kuwatia adabu waliohusika na mauaji ya kigaidi ya Kamanda Soleimani
Oct 18, 2021 11:26Mkuu wa Idara wa Mahakama nchini Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itawafuatilia na kuwaadhibu wale wote waliohusika na mauaji ya kigaidi ya Kamanda Luteni Jenerali Qassem Soleimani.
-
Jumuiya ya Kutetea Wahanga wa Ugaidi: Ugaidi unatumiwa kulinda maslahi ya madola ya kibeberu
Oct 17, 2021 02:26Jumuiya ya Kutetea Wahanga wa Ugaidi yenye makao yake nchini Iran imetangaza kuwa, ugaidi umekuwa ukitumiwa kama fimbo na wenzo wa kulinda na kupanua maslahi ya madola ya kibeberu na wala hauna mfungamano na dini wala madhehebu yoyote ya dini.
-
Makumi ya askari wauawa na kujeruhiwa katika shambulio la kigaidi Burkina Faso
Oct 05, 2021 02:55Wanajeshi wasiopungua 14 wa serikali ya Burkina Faso wameuawa katika shambulizi la kigaidi huko kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Nukta kadhaa za kuzingatia kuhusu madai ya Imarati ya kupambana na ugaidi
Sep 15, 2021 10:18Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati, umeongeza majina ya watu 38 na mashirika 15 katika orodha yake ya watu wanaodaiwa kuunga mkono ugaidi ambapo majina ya Wairani kadhaa yanaonekana katika orodha hiyo.