Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Habari
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Portuguese Português
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Iran
  • Mashariki ya Kati
  • Afrika
  • Picha
  • Iran na Afrika
  • Products

Uistikbari na ubeberu

  • SEPAH: Maadui wamedhihirisha tena dhati ya shari yao kwa kumuua shahidi Sayyad Khodaei

    SEPAH: Maadui wamedhihirisha tena dhati ya shari yao kwa kumuua shahidi Sayyad Khodaei

    May 23, 2022 09:44

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) limelaani mauaji ya mmoja wa askari wake ambaye ni mlinzi wa Haram na kueleza kwamba, maadui kwa mara nyingine tena wamedhihirisha dhati ya shari yao kwa ugaidi.

  • Kujichukulia maamuzi ya upande mmoja, changamoto ya dunia nzima

    Kujichukulia maamuzi ya upande mmoja, changamoto ya dunia nzima

    Jul 15, 2021 01:17

    Tabia ya baadhi ya madola ya kujichukulia maamuzi ya upande mmoja (unilateralism) sasa imekuwa tishio katika upeo wa kimataifa, na njia ya kukabiliana na tishio hilo ni hatua shirikishi na za pamoja katika upeo wa dunia nzima na kuimarisha utamaduni wa kuchukua maamuzi shirikishi (multilateralism) hususan katika masuala ya kimataifa.

  • Wito watolewa kwa nchi za Afrika Mashariki kubadilisha jina la Ziwa Victoria

    Wito watolewa kwa nchi za Afrika Mashariki kubadilisha jina la Ziwa Victoria

    Jun 24, 2020 07:32

    Sambamba na maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na kuvunja masanamu ya waungaji mkono wa ubaguzi wa rangi kote duniani, nchi za Afrika Mashariki zimetakiwa kubadilisha jina la Ziwa Viktoria ambalo liko katika nchi za Tanzania, Uganda na Kenya.

  • Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu nguvu za Jamhuri ya Kiislamu katika kukabiliana na mrengo wa uistkbari

    Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuhusu nguvu za Jamhuri ya Kiislamu katika kukabiliana na mrengo wa uistkbari

    Feb 19, 2019 07:27

    Ayatullah Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumatatu asubuhi mjini Tehran alikutana na kundi la wananchi kutoka katika mkoa wa Azerbaijan Mashariki wa kaskazini magharibi mwa Iran na kusema mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu upo katika nafasi nzuri kabisa huku kambi ya uistikbari inayoongozwa na Marekani ikiwa katika mazingira ya kudhoofika kabisa.

  • Ayatullah Khatami: Lengo la mabeberu ni kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

    Ayatullah Khatami: Lengo la mabeberu ni kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran

    Jul 09, 2018 14:07

    Msemaji wa Baraza la Wataalamu Wanaomchagua Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, lengo kuu la tawala za kibeberu duniani ni kutoa pigo kwa Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Ayatullah Kermani: Iran imesimama kidete dhidi ya mfumo wa ubeberu na uistikbari

    Ayatullah Kermani: Iran imesimama kidete dhidi ya mfumo wa ubeberu na uistikbari

    Mar 30, 2018 16:22

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesimama kidete dhidi ya mfumo wa ubeberu na uistikbari kwa kufuata nyayo za Imam Ali AS.

  • 'Tablighi na vyombo vya habari, kambi kuu ya vita vya Iran dhidi ya uistikbari'

    'Tablighi na vyombo vya habari, kambi kuu ya vita vya Iran dhidi ya uistikbari'

    Jul 03, 2017 03:43

    Naibu wa mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH katika wa masuala ya utamaduni na kijamii amesema kuwa, leo hii kambi kuu ya vita vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na uistikbari ni kambi ya tablighi na vyombo vya habari.

  • Nasrullah: Muqawama utavunja njama za mabeberu

    Nasrullah: Muqawama utavunja njama za mabeberu

    Dec 28, 2016 02:50

    Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon, Hizbullah amesema muqawama na kusimama kidete kutasambaratisha njama za madola ya kibeberu na kiistikbari katika nchi za Syria, Iraq na Lebanon.

  • Zarif: Ubeberu wa nchi za Magharibi duniani umepitwa na wakati

    Zarif: Ubeberu wa nchi za Magharibi duniani umepitwa na wakati

    Dec 12, 2016 02:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, zama za uistikbari na ubeberu wa madola makubwa ya Magharibi zimepita na kwamba enzi hizo hazina nafasi katika dunia ya sasa.

  • Rouhani: Nchi za kibeberu zinafanya maonyesho ya kisiasa katika

    Rouhani: Nchi za kibeberu zinafanya maonyesho ya kisiasa katika "vita dhidi ya ugaidi"

    Oct 25, 2016 07:54

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madola ya kibeberu na kiistikbari yanawachezea shere walimwengu sambamba na kufanya maonyesho ya kisiasa katika kile wanachokitaja kuwa 'vita dhidi ya ugaidi.'

Onesha Zaidi
Pars Today

© 20167 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Iran
    Mashariki ya Kati
    Afrika
    Picha
    Iran na Afrika
    Products
Radio
    Vipindi
    Hifadhi
    Darsa ya Qur'ani
    Frikwensi
    Tovuti Kongwe
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS