-
Pompeo adai UAE na Israel zimeafikiana kuanzisha muungano dhidi ya Iran
Sep 07, 2020 03:35Katika mwendelezo wa uchukuaji misimamo ya kiuadui dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amedai kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel zimefikia makubaliano ya kuanzisha muungano maalumu dhidi ya Iran.
-
Safari ya Mike Pompeo kusini mwa Ghuba ya Uajemi na kukaririwa madai yasiyo na msingi wowote
Aug 28, 2020 06:29Marekani daima ikiwa na lengo la kuendeleza uwepo wake wa kijiopolitiki katika eneo la Ghuba ya Uajemi imekuwa ikitumia vizingizio visivyokuwa na maana hususan kupiga kwake ngoma ya kueneza chuki chidi ya Iran.
-
Iraq yatoa msimamo rasmi kuhusu mapatano ya UAE na utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 27, 2020 10:54Msemaji wa Waziri Mkuu wa Iraq amesema kuhusu mapatano ya kuanzisha uhusiano wa kawaida kati ya Umoja wa Falme za Kiarabu UAE na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel kwamba, hilo ni suala la ndani linalozihusu pande hizo mbili.
-
Wananchi wa Tunisia waandamana kulaani mapatano ya Imarati na utawala wa Kizayuni
Aug 24, 2020 02:28Wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano makubwa kupinga mapatano yaliyofikiwa kati ya Imarati na utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia kati ya pande mbili hizo.
-
Baraza la Taasisi za Kiislamu Marekani lapinga mapatano ya fedheha kati ya Imarati na Israel
Aug 15, 2020 06:45Baraza la Taasisi za Kiislamu za nchini Marekani (USCMO) limepinga mpango wa mapatano uliofikiwa kati ya Imarati na Israel.
-
Mgogoro kati ya Saudia na Imarati kuhusu mkoa wa Hadhramaut, Yemen washtadi
Jun 07, 2020 04:07Mapigano ya niaba kati ya Saudi Arabia na Imarati katika mkoa wa Hadhramaut, mashariki mwa Yemen yameshadi zaidi.
-
FATF yatoa onyo kali kwa Imarati kwa kuruhusu kudhaminiwa fedha magenge ya kigaidi
May 01, 2020 00:41Kundi maalumu la FATF limeuonya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kutokana na kuchukua hatua chache na dhaifu katika kukabiliana na utakatishaji pesa na kudhaminiwa fedha magenge ya kigaidi.
-
Jitihada za Imarati za kudhibiti maliasili za mafuta ya Yemen
Mar 14, 2020 12:07Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unafanya kila uwezalo kudhibiti utajiri wa Yemen vikiwemo visima vya mafuta vya nchi hiyo.
-
Mgogoro baina ya Morocco na Imarati wapamba moto
Mar 12, 2020 08:05Uhusiano wa kidiplomasia baina ya Morocco na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umeingia katika mgogoro mkubwa baada ya Abu Dhabi kukataa kutuma balozi mpya mjini Rabbat, na Morocco nayo imeamua kushusha chini kabisa kiwango cha uhusiano wake wa kidiplomasia na Imarati.
-
Misri na Imarati zaunda kikosi cha majini cha Kikomando cha kukabiliana na Uturuki huko Libya
Mar 10, 2020 11:41Misri huku ikiungwa mkono na Umoja wa Falme za Kiarabu imeripotiwa kuunda kikosi maalumu cha oparesheni za majini kinachowajumuisha makomando wa Libya ambacho kimepewa jukumu la kulenga maslahi ya Uturuki katika pwani za Libya.