-
Mbunge wa Libya: Mjumbe wa UN ni mtekelezaji wa siasa za Marekani
May 24, 2022 07:19Muhammad al A'bani, mbunge wa Bunge la Wawakilishi la Libya amesema Stephanie Williams, mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ni mtekelezaji wa mipango na siasa za Marekani katika eneo.
-
UN yataka Kenya, Somalia na Ethiopia zisaidiwe kukabili ukame
May 21, 2022 12:30Umoja wa Mataifa umetoa mwito wa dharura wa kupatikana fedha ili kusaidia mataifa ya Pembe ya Afrika ambayo kwa miezi yameshuhudia hali ya ukame inayotishia kuwa mbaya zaidi.
-
WMO: Joto linaendelea kuongezeka duniani kwa mwaka wa saba mfululizo
May 18, 2022 12:49Shirika la Umoja wa Mataifa la Utabiri wa Hali ya Hewa Duniani, WMO limetangaza kuwa, hali ya hewa inaendelea kuwa mbaya duniani licha ya wadau kujadiliana kila uchao na kuahidi kuchukua hatua madhubuti za kulinda dunia kutoathiriwa na mabadiliko ya tabia nchi ambayo kwa kiasi kikubwa yanaathiriwa na shughuli za kibinadamu.
-
Jamhuri ya Czech yachukua nafasi ya Russia katika Baraza la Haki za Binadamu la UN
May 11, 2022 07:44Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limeipa Jamhuri ya Czech nafasi ya Russia baada ya kufuta uanachama wa Moscow kwenye baraza hilo.
-
Sana'a: Umoja wa Mataifa ni mshirika wa mzingiro dhidi ya Yemen
Apr 26, 2022 03:10Maafisa wa Yemen wameuonyeshea tena kidole cha lawama Umoja wa Mataifa na kuitaja asasi hiyo ya kimataifa kuwa mshirika wa mzingiro dhidi ya nchi hiyo masikini ya Kiarabu.
-
UN yataka kuchunguzwa ukatili wa Wazayuni katika Msikiti wa Al-Aqsa
Apr 23, 2022 13:28Msemaji wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kuratibu Masuala ya Kibinadamu (OCHA) ametoa wito wa kufanyika uchunguzi wa haraka na wa wazi kuhusiana na mashambulio ya kikatili ya wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya waumini wa Kipalestina waliokuwa wakifanya ibada katika Msikiti wa Al-Aqsa.
-
UN: Watoto 350,000 wa Somalia katika hatari ya kufa njaa
Apr 15, 2022 04:00Umoja wa Mataifa umeonya kuwa, watoto 350,000 wapo katika nchi ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa linaloisakama Somalia.
-
Onyo la mashirika 4 ya Umoja wa Mataifa kuhusu hatari ya usalama wa chakula duniani
Apr 14, 2022 07:22Benki ya Dunia, Shirika la Biashara Duniani, Mfuko wa Fedha wa Kimataifa na Shirika la Mpango wa Chakula la Umoja wa Mataifa zimeonya kuwa usalama wa chakula duniani uko hatarini na kwamba nchi zote zinapaswa kuchukua hatua maalumu kudhamini chakula kwa watu wao.
-
Ershadi: Ugaidi na uvamizi wa kigeni ni vitisho vikubwa kwa usalama wa wanawake
Apr 14, 2022 07:01Zahra Ershadi, balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa: "Kuzikalia kwa mabavu ardhi za mataifa mengine, uvamizi wa kigeni na ugaidi ndio vitisho vikuu kwa usalama wa wanawake katika Asia Magharibi."
-
UN: Tunatumai uthabiti na usalama utarejea nchini Somalia karibuni
Apr 13, 2022 07:48Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amesema ana matumaini ya kurejeshwa uthabiti, amani na usalama nchini Somalia haraka iwezekanavyo.