-
Amir Abdollahian azungumza kwa simu na Guterres: Mapatano yanakaribia katika mazungumzo ya Vienna
Apr 03, 2022 11:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa mapendekezo ya Iran katika mazungumzo ya Vienna yametumwa upande wa Marekani mwakilishi wa Umoja wa Ulaya katika mazungumzo hayo; na sasa mpira upo mbele ya Marekani.
-
Nchi za Ulaya zasajili rekodi mpya ya mfumko wa bei za bidhaa
Apr 02, 2022 12:59Mfumko wa bei za bidhaa katika nchi za bara Ulaya ulikwea hadi kiwango cha kutisha cha asilimia 7.5 mwezi uliopita wa Machi.
-
Mazungumzo ya Istanbul na sisitizo la uanachama wa Ukraine katika Umoja wa Ulaya
Mar 31, 2022 02:28Duru mpya ya mazungumzo kati ya wajumbe wa Russia na Ukraine ilifanyika mjini Istanbul, Uturuki siku ya Jumanne iliyopita. Baada ya mazungumzo na Russia, mkuu wa ujumbe wa Ukraine, David Arakhamia, alisema kuwa hakuna mtu anayeweza kuizuia Ukraine kujiunga na Umoja wa Ulaya.
-
EU: Mazungumzo ya Vienna yamefikia hatua nyeti na hasasi
Mar 29, 2022 07:55Msemaji wa Kamisheni ya Ulaya amesema, mazungumzo ya Vienna ya kufufua mapatano ya nyuklia ya Iran, JCPOA yamefikia hatua nyeti na hasasi.
-
Kuongezeka mpasuko ndani ya EU kuhusu vikwazo vya mafuta na gesi dhidi ya Russia
Mar 28, 2022 02:27Waziri Mkuu wa Poland, Mateusz Morawiecki amedai kuwa, nchi tatu za Ulaya za Ujerumani, Austria na Hungary ni kizuizi katika utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia na kuzifananisha nchi hizo tatu na breki inayozuia vikwazo vya Magharibi dhidi ya Moscow.
-
Hizi ndizo nchi zilizopinga Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu (Islamophobia)
Mar 20, 2022 02:43Katika hatua muhimu, Umoja wa Mataifa wiki hii uliitambua rasmi Machi 15 kama Siku ya Kimataifa ya Kupambana na Chuki Dhidi ya Uislamu, lakini baadhi ya nchi zilichagua kutounga mkono azimio hilo.
-
Al-Bakhiti: Umoja wa Ulaya umeonyesha kuporomoka kwake kimaadili
Mar 19, 2022 11:57Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Serikali ya Uokoaji wa Kitaifa ya Yemen, amekosoa hatua ya Umoja wa Ulaya (EU) ya kuiweka harakati ya Ansarullah katika orodha yake nyeusi na kusema: "EU imeonyesha kuporomoka kwake kimaadili kwa kitendo hiki."
-
Umoja wa Ulaya waonesha matumaini ya kufikiwa makubaliano kuhusu JCPOA
Mar 19, 2022 02:48Msemaji wa Mkuu wa Sera za Kigeni za Umoja wa Ulaya amesema kuwa, ana imani mazungumzo ya Vienna yatazaa matunda mazuri na yatapelekea kuondolewa vikwazo Iran.
-
Iran: Kujitakia makuu Marekani kusiathiri masuala muhimu Vienna
Mar 11, 2022 03:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema masuala ya msingi na kuondolewa Iran vikwazo havipaswi kuathiriwa na tabia ya kujitakia makuu Marekani.
-
Upinzani dhidi ya uanachama wa Ukraine katika Umoja wa Ulaya
Mar 08, 2022 11:30Mjumbe mmoja wa ngazi za juu katika bunge la Ujerumani amesema kuwa mkondo wa kuipa Ukraine uanachama katika Umoja wa Ulaya ni hatari kwa maslahi ya umoja huo na kwamba njia bora ni kuipa Ukraine uanachama wa heshima tu.