-
Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni zashambulia kusini mwa Ukanda wa Ghaza
Jan 18, 2021 08:19Utawala wa Kizayuni umeshambulia mikoa miwili ya Rafa na Khan- Yunis kusini mwa Ukanda wa Ghaza.
-
Lebanon yazishutumu Uturuki na Israel kuifanyia utapeli
Jan 17, 2021 13:21Wizara ya Viwanda ya Libanon imezishutumu Uturuki na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuitapeli na kuwadanganya watumiaji wa bidhaa za madola hayo katika masoko ya kigeni.
-
Israel inayahofu makombora yenye shabaha kali ya Hizbullah ya Lebanon
Jan 16, 2021 13:41Mchambuzi wa masuala ya kijeshi wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel amesema, utawala huo umeingiwa na hofu na kiwewe kwa sababu ya makombora yenye shabaha kali ya harakati ya muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Lebanon yaushtaki utawala wa Kizayuni katika Baraza la Usalama la UN
Jan 14, 2021 12:56Wizara ya Mambo ya Nje ya Lebanon imewasilisha shtaka dhidi ya utawala haramu wa Israel katika Umoja wa Mataifa na Baraza la Usalama la umoja huo kutokana na hatua ya Israel kukiuka mara kwa mara anga ya Lebanon.
-
Israel yakataa kuwapatia chanjo ya corona mateka Wapalestina inaowashikilia katika jela zake
Jan 14, 2021 02:37Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel unakataa kuwapatia chanjo ya corona mateka Wapalestina unaowashikilia kwenye magereza yake.
-
Mgogoro jeshini Israel, wanajeshi elfu 10 wawekwa karantini
Jan 08, 2021 07:03Duru za utawala wa Kizayuni zimetangaza habari ya kuongezeka vibaya maambukizo ya kirusi cha corona ndani ya jeshi la utawala huo dhalimu na kusema kuwa maelfu ya wanajeshi wa Israel wamewekwa kwenye karantini hivi sasa.
-
Makumi ya Wapalestina wajeruhiwa na wanajeshi wa Kizayuni katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan
Jan 05, 2021 03:17Vyombo vya habari vimearifu kuwa makumi ya raia wa Palestina wamejeruhiwa katika shambulio la wanajeshi wa utawala wa Kizayuni huko kusini mwa Ukingo wa Magharibi mwa Mto Jordan.
-
Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu: Haijuzu kufanya miamala yoyote na Israel
Jan 03, 2021 13:35Jumuiya ya Kimataifa ya Maulamaa wa Kiislamu imetoa fatua ya kuususia kikamilifu utawala haramu wa Kizayuni wa Israel na kutangaza kwamba, haijuzu kuuuzia wala kununua chochote kinachozalishwa na utawala huo mpaka utakapokomesha ukaliaji wake ardhi kwa mabavu.
-
Watalii kutoka Israel waingiza kimagendo madawa ya kulevya nchini Imarati
Jan 03, 2021 13:29Baadhi ya vyombo vya habari vya Kiebrania vimetangaza kuwa, watalii kutoka Israel wanaoelekea Umoja wa Falme za Kiarabu wanaingiza kimagendo madawa ya kulevya katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Waziri wa Ulinzi wa Yemen atahadharisha juu ya uwepo wa wanajeshi wa Kizayuni katika maeneo yaliyovamiwa
Jan 03, 2021 06:51Waziri wa Ulinzi wa Serikali ya Wokovu wa Kitaifa ya Yemen amesema kuwa wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wapo katika vituo vya kijasusi katika maeneo yaliyokaliwa kwa mabavu na muungano vamizi huko Yemen unaaongozwa na Saudi Arabia.