-
Uturuki yaendeleza kampeni ya kutia nguvuni wahajiri
May 09, 2022 02:21Serikali ya Uturuki imewatia nguvuni wahajiri wengine 232 katika mji wa Istanbul ukiwa ni mwendelezo wa kampeni ya kamatakamata dhidi ya wahamiaji.
-
Kukabidhiwa Saudi Arabia faili la mauaji ya kigaidi ya Khashoggi
Apr 09, 2022 02:24Huku mzozo wa kiuchumi wa serikali ya Ankara na changamoto za kifedha zikizidi kuongezeka, matatizo ya maisha ya watu wa Uturuki hatimaye yameipelekea serikali ya Recep Tayyip Erdogan kwa mara nyingine tena kushirikiana na utawala haramu wa Israel, Marekani, Misri na tawala nyingine vibaraka za Kiarabu za Ghuba ya Uajemi.
-
Uturuki yatangaza kusimamisha kesi ya Wasaudia 'waliomuua' Khashoggi
Apr 08, 2022 02:47Mahakama moja nchini Uturuki imesimamisha kesi dhidi ya raia 26 wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa gazeti la Washington Post, na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Aal-Saud, Jamal Khashoggi, mwaka 2018.
-
Uturuki yalegeza kamba, yataka kufungwa faili la mauaji ya Khashoggi
Apr 01, 2022 03:26Mwendesha Mashitaka wa Uturuki ameiomba mahakama ya nchi hiyo isimamishe kesi dhidi ya raia 26 wa Saudi Arabia wanaotuhumiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa habari wa Washington Post, na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Aal-Saud, Jamal Khashoggi, mwaka 2018.
-
Kuendelea uchokozi na uvamizi wa Uturuki dhidi ya ardhi za Syria na Iraq
Mar 29, 2022 01:25Sera za nje za serikali ya Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki katika suala la uhusiano wa nchi hiyo na nchi zingine za eneo na dunia kwa ujumla ni za kutafakariwa mno kwa sababu haifahamiki ni malengo gani hasa wanayofuatilia viongozi wa Ankara.
-
Waturuki wabeba picha za Shahidi Soleimani wakiandamana dhidi ya Israel
Mar 12, 2022 13:24Wananchi wa Uturuki jana Ijumaa, kwa mara nyingine tena walimiminika mabarabarani katika maandamano ya kulaani ziara tata ya rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini mwao.
-
Waturuki wachoma moto bendera za Wazayuni kulaani safari ya Rais wa Israel
Mar 10, 2022 04:10Wananchi wa Uturuki wamefanya maandamano makubwa ya kupinga na kulaani safari ya Isaac Herzog, rais wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel nchini humo.
-
Al Nujaba: Harakati za Uturuki nchini Iraq ni tishio
Mar 07, 2022 12:10Msemaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya nchini Iraq ya al Nujaba amesema kuwa harakati za Uturuki huko Iraq ni tishio; na kwamba iwapo nchi hiyo haitaacha chokochoko zake hizo basi Wairaki wataingia katika hali ya kijeshi.
-
Kumairishwa ushirikiano wa kiusalama na kiintelijinsia kati ya Uturuki na Israel
Feb 18, 2022 02:44Mgogoro wa kiuchumi na matatizo ya kifedha yanayoikabili Uturuki yameendelea kugonga vichwa vya habari katika magazeti ya nchi hiyo.
-
Erdogan: Rais wa Israel ataitembelea Uturuki mwezi ujao
Feb 03, 2022 12:37Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema rais wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Isaac Herzog ataitembelea nchi hiyo mwezi ujao wa Machi.