-
Sisitizo la Rais Maduro la kugonga mwamba siasa za Marekani dhidi ya Venezuela
Dec 29, 2021 02:40Sambamba na kuendelea mashinikizo ya kisiasa ya Marekani dhidi ya taifa na serikali ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hivyo amesema kuwa, taifa hilo limesimama kidete dhidi ya ubeberu na limefanikiwa kuibuka na ushindi.
-
Maduro: Dunia inapaswa kulaani mauaji ya Jenerali Soleimani
Dec 27, 2021 13:27Rais Nicholas Maduro wa Venezuela amesema jamii ya kimataifa inapaswa kulaani vikali mauaji ya kigaidi ya mwaka 2020 ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani wa Iran ambaye alikuwa mstari wa mbele katika vita dhidi ya ugaidi.
-
Venezuela yaitaka ICC ichunguze vikwazo vya Marekani dhidi yake
Aug 25, 2021 12:56Makamu wa Rais wa Venezuela ameiomba Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ifanye uchunguzi juu ya vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini, akisisitiza kuwa vikwazo hivyo ni jinai dhidi ya binadamu.
-
Maduro aliagiza jeshi la Venezuela litoe jibu kali kwa chokochoko za Marekani
Jul 25, 2021 11:13Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amelitaka jeshi la nchi hiyo lijiweka tayari na kutoa jibu kali kwa uchokozi na uvamizi wa aina yoyote wa Marekani dhidi ya nchi hiyo.
-
Rais wa Venezuela atangaza utayari wake wa kufanya mazungumzo na mrengo wa upinzani
Jul 24, 2021 08:07Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametangaza kuwa, yuko tayari kushiriki katika mazungumzo na mrengo wa upinzani.
-
Masharti ya Maduro kwa ajili ya kufanya mazungumzo na wapinzani
Jul 14, 2021 08:38Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametangaza kuwa yupo tayari kufanya duru nyingine ya mazungumzo na wapinzani wa serikali iwapo baadhi ya masharti aliyotoa yatatimizwa.
-
Sisitizo la Moscow la kuiunga mkono kijeshi Caracas
Jun 25, 2021 02:14Russia siku zote imekuwa moja kati ya waungaji mkono wakubwa wa Venezuela kimataifa licha ya mashinikizo na vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi hiyo. Vilevile inaendelea kuisaidia serikali ya Caracas na kuipa misaada ya aina mbalimbali hasa katika sekta ya ustawi wa kiuchumi na kijeshi sambamba na kumuunga mkono na kumhami Rais wa nchi hiyo, Nicolas Maduro.
-
Kuimarishwa uhusiano wa Venezuela na Russia, jibu muafaka kwa uadui wa Marekani
Apr 03, 2021 02:34Russia na Venezuela zimechukua hatua nyingine ya kuimarisha uhusiano wao kwa kuanzisha kamisheni ya viongozi wa nchi mbili na vile vile kuanzisha kamisheni tano za pamoja za kiufundi.
-
Sisitizo la Venezuela la kutaka Umoja wa Ulaya uachane na fikra za kikoloni
Mar 26, 2021 02:55Siasa za uingiliaji mambo za Marekani za washirika wake wa Magharibi zingali zinaendelea katika akthari ya nchi za Amerika ya Latini.
-
Kuasisiwa muungano mpya wa kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na siasa na hatua za upande mmoja
Mar 13, 2021 11:26Hatua na misimamo ya upande mmoja na kupuuzwa taasisi za kimataifa khususan Umoja wa Mataifa katika kipindi cha utawala wa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump vimepelekea kudhoofika umoja huo na hati ya Umoja wa Mataifa.