-
Makundi ya waasi yanajiondoa katika mazungumzo ya amani ya Chad huko Doha, Qatar
Jul 18, 2022 02:29Makundi kadhaa ya waasi wa Chad na vyama vya kisiasa vya upinzani vimejiondoa katika mazungumzo ya amani na serikali ya kijeshi ya taifa hilo la katikati mwa Afrika, vikiishutumu serikali kuwa inataka kuvuruga juhudi za amani.
-
Watu zaidi ya 100 wauawa katika shambulio la waasi Burkina Faso
Jun 14, 2022 08:04Serikali ya Burkina Faso imetangaza kuwa watu wasiopungua 50 wameuawa katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha katika kijiji kimoja kaskazini mwa nchi hiyo.
-
Zaidi ya watu 6,000 wakimbia makazi yao nchini Gambia kutokana na mzozo wa Casamance, Senegal
Mar 21, 2022 06:42Mamlaka ya Gambia imetangazai kwamba imehesabu zaidi ya watu 6,000 waliokimbia ghasia za wiki moja iliyopita kati ya jeshi na waasi wenye silaha katika eneo la Casamance kusini mwa nchi jirani ya Senegal.
-
DRC: Jeshi la Uganda ladai kutwaa moja ya kambi kuu za ADF + SAUTI
Dec 29, 2021 12:13Jeshi la Uganda linasema limefanikiwa kudhibiti kambi kubwa ya waasi wa ADF, inayofahamika kama Kambi Ya Yua iliyokuwa inawahifadhi waasi zaidi ya 600 na familia zao, katika operesheni zao inazoshirikiana na wenzao wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Mashariki mwa nchi hiyo.
-
Wakazi wa Addis Ababa watakiwa kuulinda mji huo baada ya waasi wa Tigray kusonga mbele
Nov 03, 2021 03:32Mamlaka za mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa zimetoa wito kwa wakaazi wa mji huo kujiandaa kutetea vitongoji vyao baada ya vikosi vya waasi kutoka eneo la Tigray, ambao wamekuwa wakipigana na serikali kuu kwa mwaka mmoja sasa, kuashiria kwamba huenda wakasonga mbele kuelekea kwenye mji huo.
-
7 wauawa baada ya waasi kushambulia kambi za jeshi CAR
Jul 01, 2021 07:38Watu wasiopungua saba wameuawa katika msururu wa mashambulio ya genge moja la waasi mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Mazungumzo ya amani yaanza baina ya serikali ya Sudan na waasi wa SPLM huko Juba
May 27, 2021 02:21Mazungumzo ya amani baina ya serikali ya Sudan na Harakati ya Ukombozi wa Watu wa Sudan tawi la Kaskazini (SPLM) yalianza jana katika mji wa Juba chini ya usimamizi wa Rais ya serikali ya Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardit.
-
Askari usalama Nigeria wawakamata wanachama 40 wa genge lenye silaha
Apr 27, 2021 07:16Kikosi cha usalama nchini Nigeria ckimewatia nguvuni wanachama 40 wa genge la watu waliokuwa na silaha wakati wa operesheni iliyofanyika katika jimbo la kusini la Edo.
-
Waasi 21 wa kundi la CODECO wauawa DRC
Oct 27, 2020 11:17Waasi 21 wameuawa katika kipindi cha siku tatu za mapigano baina yao na jeshi la serikali katika mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Watoto wasiopungua 6 wauawa katika shambulio la waasi nchini Cameroon
Oct 25, 2020 08:20Watoto wasiopungua 6 wameuawa katika shambulio la watu wenye silaha lililolenga shule ya Fransisca International Bi-lingual Academy. Shambulio hilo lilifanyika jana katika eneo la Koumba kusini magharibi mwa Cameroon.