-
Vigezo vya nyuso mbili vya nchi za Ulaya katika suala la wakimbizi
May 19, 2022 02:12Huku mgogoro wa kiuchumi na kisiasa ukiendelea katika baadhi ya nchi za Asia na huku vita baina ya Ukraine na Russia navyo vikiendelea, wimbi la wakimbizi katika mipaka ya nchi za Ulaya nalo limeongezeka.
-
UNHCR yahitaji dola milioni 47.8 kuwasaidia wakimbizi Uganda
May 01, 2022 04:10Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR na wadau wengine 44 wa misaada ya kibinadamu wametoa ombi la dharura la dola za Marekani milioni 47.8 ili kukabiliana na mahitaji muhimu ya maelfu ya wakimbizi waliofika Uganda mwaka huu, wakikimbia ghasia katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na za mapigano ya hapa na pale nchini Sudan Kusini.
-
Eritrea yakosoa mpango 'haramu' wa kuwahamishia Rwanda wakimbizi wa Uingereza
Apr 20, 2022 02:48Serikali ya Eritrea imekosoa makubaliano ya kuwahamishia Rwanda wakimbizi kutoka Uingereza ikisisitiza kuwa, mpango huo haukubaliki, unashtua na unapaswa kupingwa na kulaaniwa vikali.
-
Uingereza yakosolewa kwa mpango wake ulio dhidi ya binadamu wa kuwahamishia Rwanda wakimbizi
Apr 18, 2022 02:27Kufuatia kuongezeka idadi ya wakimbizi wanaoingia Uingereza kutoka nchi mbali mbali duniani, wakuu wa London wamechukua hatua kali kuzuia wimbi hilo ambapo sasa wanaoingia nchini humo kama wakimbizi watahamishiwa Rwanda huku faili zao zikichunguzwa.
-
Vifo na wasiwasi wa wakimbizi katika safari ya kuelekea Ulaya
Dec 31, 2021 02:49Huku mizozo ya kisiasa na kiuchumi ikiendelea kupanuka Asia Magharibi na katika nchi nyingi za Afrika, wimbi la watu wanaotafuta hifadhi na wakimbizi barani Ulaya linaendelea kwa kasi kubwa.
-
Kupitishwa na Bunge la Uingereza sheria ya kibaguzi dhidi ya wahamiaji
Dec 11, 2021 02:45Bunge la Uingereza limepitisha sheria tatanishi ya "Utaifa na Mipaka", Nationality and Borders kwa kura 298 za wabunge waliounga mkono dhidi ya 231 walioupinga mswada wa sheria hiyo.
-
Ufaransa yapinga ombi la Uingereza, mizozo yashadidi baina ya pande mbili
Dec 04, 2021 02:39Baada ya siku saba, Ufaransa imekataa ombi la Uingereza lililokuwa limetolewa na Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Boris Johnson kwa Rais Emmanuel Macron.
-
Maafa ya vifo vya wakimbizi katika mfereji wa Manch, matokeo ya mzozo kati ya Ufaransa na Uingereza
Nov 27, 2021 14:58Zaidi ya wakimbizi 27 kutoka pwani ya kaskazini ya Ufaransa waliovuka Mfereji wa Manchi wakijaribu kufika katika ardhi ya Uingereza walighariki na kufariki Jumatano jioni, Novemba 24, baada ya boti yao kuzama.
-
Maafa ya wahajiri kuelekea Ulaya; watu zaidi ya 75 wazama katika pwani ya Libya
Nov 21, 2021 08:18Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) limeripoti kuwa, wahamiaji haramu zaidi ya 75 wamefariki dunia baada ya boti yao kuzama katika pwani ya magharibi mwa Libya. Wahajiri hao haramu wamekumbwa na mauti Jumatano iliyopita katika jitihada za kuelekea barani Ulaya.
-
Umoja wa Mataifa wakosoa vitendo vya mabavu vya nchi za Ulaya dhidi ya wakimbizi
Nov 13, 2021 11:49Akizungumza katika bunge la Ulaya Filippo Grandi Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR amekosoa vitendo vya mabavu na ukandamizaji wa Umoja wa Ulaya dhidi ya wakimbizi na kusisitiza kuwa siku zote na mara kwa mara tunashuhudia raia wanaotafuta hifadhi barani Ulaya wakifukuzwa kwa mabavu na visingizio vya kisheria kutumika katika kuwanyima hifadhi raia hao.