-
Upinzani Malawi kupinga matokeo ya uchaguzi wa rais mahakamani
Jun 01, 2019 03:53Kinara wa chama kikuu cha upinzani cha Malawi Congress (MCP) amesema atawasilisha faili mahakamani kupinga 'wizi wa kura' katika uchaguzi wa rais uliofanyika nchini humo hivi karibuni.
-
Wapinzani nchini Sudan watofautiana juu ya mgomo wa nchi nzima
May 27, 2019 04:25Muungano mkuu wa upinzani nchini Sudan umepinga mwito wa baadhi ya makundi ya wapinzani wa kufanyika mgomo wa nchi nzima kuanzia Jumanne ijayo, baada ya mazungumzo ya kutatua hitilafu zilizopo baina yao na Baraza la Mpito la Kijeshi kushindwa kuzaa matunda.
-
Mgomo wa nchi nzima wa wapinzani nchini Sudan kufanyika wiki ijayo
May 25, 2019 07:08Viongozi wa upinzani nchini Sudan wametangaza Jumanne ya wiki ijayo kuwa siku ya kuanza mgomo wa nchi nzima, baada ya mazungumzo ya kutatua hitilafu zilizopo baina yao na Baraza la Mpito la Kijeshi kushindwa kuzaa matunda.
-
Wapinzani Sudan waitisha mgomo wa nchi nzima, wasema mazungumzo yamefeli
May 21, 2019 13:30Viongozi wa upinzani nchini Sudan wametoa mwito wa kufanyika mgomo wa nchi nzima, wakisisitiza kuwa vikao viwili vya mazungumzo vya juzi na jana jioni vimeshindwa kupatia ufumbuzi hitilafu zilizopo baina ya pande mbili.
-
Wapinzani Sudan wasikitishwa na hatua ya jeshi kusimamisha mazungumzo
May 17, 2019 02:31Wapinzani nchini Sudan wameeleza kusikitishwa kwao na hatua ya Baraza la Kijeshi la Mpito ya kusimamisha kwa muda mazungumzo baina ya pande mbili hizo kuhusu uundwaji wa serikali ya muda nchini humo.
-
Baraza la Kijeshi la Sudan na wapinzani wafikia mapatano ya kuunda serikali ya mpito
May 15, 2019 11:18Hatimaye baada ya mazungumzo mapana na ya vuta nikuvute Baraza la Kjeshi la Mpito la Sudan na wawakilishi wa upinzani nchini humo wamefikia mapatano kuhusu muda wa miaka mitatu wa kukabidhi madaraka nchini humo na namna serikali hiyo ya muda itakavyoundwa nchini humo.
-
Kuendelea mazungumzo kati ya jeshi la Sudan na wapinzani
May 13, 2019 10:36Ikiwa ni mwezi mmoja umepita tokea Omar al-Bashir, aondolewe madarakani nchini Sudan, bado kuna tofauti kubwa kati ya Baraza la Kieshi la Mpito na muungano wa Uhuru na Mabadiliko kuhusiana na jinsi raia watakabidhiwa madaraka, kuandaliwa mazingira ya uchaguzi na kubuniwa serikali ya kidemokrasia nchini humo.
-
Upinzani: Uingereza haipaswi kumkabidhi Julian Asange kwa Marekani
Apr 12, 2019 14:57Kiongozi wa chama Leba nchini Uingereza amekosoa vikali kitendo cha kutiwa mbaroni mjini London mwasisi wa mtandao unaojishughulisha na kufichua siri na kashfa wa WikiLeaks, Julian Assange.
-
Serikali ya Sudan yatishia kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo
Apr 08, 2019 14:58Serikali ya Sudan imetahadharisha kuhusu kutokea vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini humo na kugawanyika mapande mawili muundo wa kisiasa wa nchi hiyo.
-
Kiongozi wa upinzani Sudan amtaka Rais Bashir ajiuzulu
Apr 06, 2019 07:50Kiongozi wa kambi ya upinzani nchini Sudan amemtaka Rais Omar Hassan al-Bashir wa nchi hiyo ajiuzulu.