-
Kuwait: Jukumu la usalama wa Ghuba ya Uajemi ni la nchi zote za eneo hilo
Dec 15, 2020 11:34Waziri Mkuu wa Kuwait amesema kuwa, suala la kulinda usalama wa Ghuba ya Uajemi ni jukumu la nchi zote za eneo hilo na hakuna nchi yoyote inayoweza kujivua na jukumu hilo.
-
Sababu za kujiuzulu Waziri Mkuu wa Jordan
Oct 05, 2020 02:33Mfalme Abdullah wa Pili wa Jordan amekubali kujiuzulu kwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Omar al-Razzaz na kumuamuru kukaimu nafasi hiyo hadi litakapoundwa baraza jipya la mawaziri.
-
Onyo la Johnson kwa Umoja wa Ulaya kuhusu hatari ya kutoweka umoja wa Uingereza
Sep 14, 2020 06:15Suala la kujitoa Uingereza katika Umoja wa Ulaya ambalo lilianza kutekelezwa tarehe 31 Januari 2020 limekumbwa na malalamiko mengi katika maeneo yanayopigania kujitenga na nchi hiyo ya Ulaya yakiwemo ya Scotland na Ireland Kaskazini.
-
Sababu za kuchelewa kutangazwa Waziri Mkuu mpya wa Lebanon na changamoto zake
Aug 29, 2020 02:35Licha ya kupita siku 19 tangu kujiuzulu Waziri Mkuu wa Lebanon, Hassan Diab, bado hadi hivi sasa hakuna mtu mwingine yeyote aliyechaguliwa kushika nafasi hiyo nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa Lebanon ajiuzulu
Aug 11, 2020 03:37Waziri Mkuu wa Lebanon Hassan Diyab amejiuzulu. Diyab amechukua uamuzi huo kufuatia mripuko uliotokea hivi karibuni katika bandari ya Beirut na kutokana na mashinikizo ambayo yameendelea kuiandama serikali ya nchi hiyo.
-
Rais wa Iraq aunga mkono kufanyika uchaguzi wa mapema nchini humo
Aug 04, 2020 11:16Rais wa Iraq amekaribisha pendekezo la Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mustafa al Kadhimi kuhusu kufanyika mapema uchaguzi wa bunge.
-
Waziri Mkuu mpya ateuliwa nchini Tunisia
Jul 27, 2020 01:29Kufuatia kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Tunisia baada ya kujiuzulu Waziri Mkuu Elyes Fakhfakh, rais wa nchi hiyo Kais Saied, amemteua waziri wa mambo ya ndani Hichem Mechichi kuwa waziri mkuu mpya na kumtaka aunde baraza jipya la mawaziri.
-
Kuongezeka mashinikizo ya kimataifa dhidi ya utawala wa Kizayuni; upinzani wa Ulaya kwa mpango wa kumegwa ardhi zaidi za Palestina
Jul 16, 2020 07:59Utawala haramu wa Kizayuni umekusudia kumega asilimia 30 ya ardhi za Palestina za Ufukwe wa Magharibi wa Mto Jordan ulizozivamia na kuanza kuzikalia kwa mabavu mwaka 1967 na kuziunganisha na ardhi zingine ulizozipa jina la Israel, ukiwa ni muendelezo wa malengo yake ya muda mrefu ya kuikalia kwa mabavu Palestina yote.
-
Wazayuni waandamana wakishinikiza kupandishwa kizimbani Benjamin Netanyahu
May 10, 2020 07:42Mamia ya wakazi wa Tel Aviv, mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano mjini humo kupinga Baraza la Mawaziri lililoundwa na Benjamin Netanyahu na kushinikiza kupandishwa kizimbari waziri mkuu huyo wa utawala pandikizi wa Kizayuni.
-
Avigdor Lieberman ataka kupitishwa haraka sheria ya kumzuia Netanyahu kuwa waziri mkuu
Apr 21, 2020 02:57Avigdor Lieberman, Waziri wa Zamani wa Vita wa Utawala Haramu wa Israel amemtaka spika wa bunge la utawala huo kupitisha mpango wa kumzuia Benjamin Netanyahu kuwa waziri mkuu.