Sep 06, 2016 10:10 UTC
  • Kiongozi Muadhamu akitoa darsa khariji ya fikihi (katika picha)

Ayatullahil Udhma Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo asubuhi (Jumanne) ameendelea na darsa zake za "Khariji" ya fikihi (darsa ya daraja la juu kabisa ya fikihi) kwa mnasaba wa kuanza mwaka wa masomo wa Hawza, vyuo vikuu vya kidini nchini Iran. Hapa ni baadhi ya picha zilizopigwa wakati wa darsa hiyo.

Tags