Dec 04, 2020 17:18 UTC

Mahakama ya Katiba ya Jamhuri ya Afrika Kati imeondoa majina 16 ya wagombea wa kiti cha Urais likiwemo la rais wa zamani wan chi hito Francosi Bozize.

Wanasiasa hao ambao majina yao yameenguliwa wanakabiliwa na makosa mbalimbali ikiwa ni pamoja na uhalifu na mauaji.
Mwandishi wetu wa Afrika ya Kati Mossi Mwassi anatuarifu zaidi.