Dunia
-
Askari laki moja wa Marekani kubaki Ulaya kwa kisingizio cha "kitisho cha Russia"
May 21, 2022 12:30Vyombo vya habari vya Marekani vimetangaza kuwa kuna uwezekano askari laki moja wa jeshi la nchi hiyo wakabaki barani Ulaya kwa ajili ya kukabiliana na kitisho cha Russia.
-
Wanaharakati wa asasi za kiraia Korea Kusini waandamana kupinga safari ya Biden
May 21, 2022 12:29Baadhi ya wanaharakati wa asasi mashuhuri za kiraia nchini Korea Kusini wamekusanyika katika mji mkuu wa nchi hiyo Seoul kupinga safari ya Rais Joe Biden wa Marekani nchini humo.
-
Russia yachukua udhibiti kamili wa mji wa Mariupol, Ukraine
May 21, 2022 08:11Russia imetangaza kuchukua udhibiti kamili wa mji muhimu wa Mariupol nchini Ukraine baada ya wanajeshi wa mwisho wa Ukraine waliokuwa katika kiwanda cha chuma cha Azovstal kujisalimisha Ijumaa.
-
Uungaji mkono wa Iran kwa hatua za Umoja wa Mataifa katika kukabiliana na mgogoro wa chakula duniani
May 21, 2022 03:14"Dunia nzima imeathirika na uhaba wa chakula." Hayo yalisemwa siku ya Alhamisi na Majid Takht-e Ravanchi, Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa.
-
UN: Njaa itaziathiri nchi zote duniani, Iran yaahidi kusaidia
May 20, 2022 11:21Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameliambia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwamba vita vinapozuka, watu hukabiliwa na njaa, na kwamba asilimia 60 ya watu wasio na lishe bora duniani wanaishi katika maeneo yaliyoathiriwa na migogoro huku akikumbusha kuwa "Hakuna nchi iliyo na kinga dhidi ya njaa,"
-
Ugonjwa nadra wa monkeypox waenea Ulaya, Marekani
May 20, 2022 11:16Huku dunia ikiwa bado inakabiliana na janga la COVID-19, maambukizi ya kirusi nadra cha monkeypox yameripotiwa Ulaya na Marekani na kupelekea hali ya tahadhari ya kiafya kutangazwa.
-
Russia: Shirika "lililokufa ubongo" linahitaji kupatiwa viungo vipya
May 20, 2022 08:10Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia Maria Zakharova amegusia hatua ya shirika la kijeshi la NATO ya kutaka kuzipatia Finland na Sweden uanachama wa shirika hilo na akasema, shirika ambalo limekumbwa na "kifo cha ubongo" linahitaji kupatiwa viungo vipya.
-
Taliban: Watangazaji wanawake wanapotangaza katika televisheni wafunike nyuso zao
May 20, 2022 07:43Serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan imetoa amri kwa watangazaji wanawake wanaofanya kazi katika chaneli za televisheni za nchi hiyo wafunike sura zao wakati wanapotangaza.
-
Marekani: Kiongozi wa Korea Kaskazini hana hamu yoyote ya kukutana na Biden
May 20, 2022 07:35Jake Sullivan, mshauri wa usalama wa taifa wa serikali ya Marekani amesema, Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong Un ambaye hapo kabla aliwahi kukutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa rais wa Marekani Donald Trump, hajaonyesha hamu yoyote ya kukutana na rais wa sasa wa nchi hiyo Joe Biden.
-
Ripoti: Raia milioni 24 wa Afghanistan wanahitajia misaada ya kiafya
May 20, 2022 01:21Bodi ya Madaktari wa Kimataifa imeonyesha wasiwasi iliyonayo kuhusiana na hali ya kiafya nchini Afghanistan na kutangaza kuwa, katika mwaka huu wa 2022 takribani watu milioni 24.4 wa Afghanistan wanahitajia misaada ya kitiba.