Sep 12, 2016 17:20 UTC

Mufti wa Uganda Sheikh Shaban Mubaje amewataka wabunge wa nchi hiyo kutofuata nyayo za wamagharibi.

Hususan katika kupitisha sheria zinazokinzana na maamrisho ya Mwenyezi Mungu ikiwemo kupitisha sheria za kuhalalisha uavyaji mimba na kuwafundisha ngono watoto wadogo wenye umri wa miaka mitano mashuleni. Sheikh Mubaje amesema kuwa, endapo wabunge hao wataendelea kuwatii Wamagharibi, basi wajiandae na adhabu ya Mwenyezi Mungu Mtukufu.

Tujiunge na mwandishi wetu Kigozi Ismail kutoka mjini Kampala kwa taarifa kamili……./

 

 

Tags