Makala Mchanganyiko

 • Khordad 15, siku ya harakati ya umwagaji damu ya wananchi mashujaa

  Jun 02, 2020 07:39

  Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni katika kipindi hiki maalumu cha kuzungumzia tukio muhimu sana katika historia ya Mapinduzi ya Kiislamu na katika historia ya zama hizi ya Iran. Tukio hilo ni maarufu kwa jina la Khordad 15 kwa kalenda ya Kiirani ya Hijria Shamsia. Mwaka huu tarehe 15 Khordad, Hijria Shamsia inasadifiana na tarehe 4 Juni Milaadia. Leo tumeamua kusema machache kuhusu suala hilo.

 • Imam Khomeini, kiongozi wa nyoyo (maalumu kwa ajili ya ukumbusho wa kuaga dunia Imam - MA).

  Jun 02, 2020 07:36

  Harakati ya Imam Khomeini (MA) ilitokana na maumbile safi ya mwanadamu, maumbile ambayo hayakinaishwi tu na mahitaji ya kimaasa na ladha za kidunia ambazo hupita na kumalizika haraka bali huitajia mahitaji mengine muhimu ambayo ni ya kiroho na kimaanawi.

 • Hotuba ya Kiongozi Muadhamu kwa mnasaba na Siku ya Kimataifa ya Quds

  May 23, 2020 10:30

  Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu leo (Ijumaa) katika hotuba yake kwa mnasaba wa Siku ya Kimataifa ya Quds amezungumzia suala la kuanza awamu mpya ya mapambano ya Palestina baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kudhihiri mrengo wa muqawama sambamba kubadilika mlingano wa nguvu kwa maslahi ya wanamapambano na ametoa miongozo saba muhimu kuhusu jinsi ya kuendeleza Jihadi kubwa na takatifu ya sasa.

 • Taathira za kisiasa, kijamii na kiuchumi za virusi vya COVID-19 (Corona)

  Mar 28, 2020 08:36

  Katika kipindi cha sasa kadhia ya maambukizi ya virusi vya COVID-19 au Corona ndiyo gumzo na kadhia muhimu zaidi inayojadiliwa katika duru zote za kisiasa na vyombo vya mawasiliano ya kijamii na hata baina ya watu wa familia.

 • Virusi vya Corona na jinsi ya kukabiliana navyo

  Mar 28, 2020 08:09

  Mwezi Disemba mwaka uliopita wa 2019 kuliripotiwa aina ya ugonjwa mkali wa matatizo ya kupumua katika mji wa Wuhan nchini China.

 • Katika Mwangwi wa Fikra za Imam Baqir (AS), kwa Mnasaba wa Kuzaliwa Mtukufu Huyo

  Feb 25, 2020 08:46

  Assalamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. Siku ya mwanzo ya mwezi wa Rajab, mwezi mtukufu wa Mwenyezi Mungu, ambao ameufanya wasila na wenzo wa kumuunganisha mja na Yeye Mola Muunmba imesadifiana na imezidishiwa baraka zake kwa kuzaliwa Ahlul-Bayt mwingine wa Bwana Mtume Muhammad SAW.

 • Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama

  Feb 21, 2020 10:06

  Tarehe 21 Februari inasadifiana na Siku ya Kimataifa ya Lugha ya Mama.

 • Mgogoro wa virusi vya Corona Duniani

  Feb 12, 2020 12:02

  Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi tena katika kipindi cha Makala ya Wiki ambacho leo kitatupia jicho mgogoro uliosababishwa na virusi vya Corona ambavyo vinaendelea kuua watu na kusambaa katika nchi mbalimbali duniani. Ni matarajio yangu kwamba ntakuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.

 • Kilele cha maadhimisho ya miaka 41 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

  Feb 10, 2020 08:42

  Assalamu Alaykum mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio mfululizo huu wa vipindi maalumu tulivyokuandalia kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran.