1
Sibtain (Imam Hassan na Hussein) katika Qur'ani na Hadithi (1)
Al-Hassanan (Hassan na Hussein) katika Aya; (Na akamfundisha Adam majina ya vitu vyote)
Allahumma waswalie al-Hassan wal-Hussein, waja, mawalii, wana wa Mtume wako, wajukuu wa rehema, na mabwana wa mabarobaro wa peponi, swala ambazo ni bora zaidi kuliko ulivyowaswalia watoto wa Manabii na Mitume wengine. Na Mswalie Muhammad na kizazi chake ambacho ni kiongozi na chenye baraka.