• Jumanne, Julai 14, 2020

  Jul 14, 2020 02:27

  Leo ni Jumanne tarehe 22 Dhulqaada 1441 Hijria inayosadifiana na Julai 14 mwaka 2020.

 • Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (2): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani

  Jul 06, 2020 05:54

  Tukiendelea na pale yalipoishia mazungumzo yetu katika kipindi kilichopita, katika kueleza sifa zinazoyapambanua na kuyatafautisha Mapinduzi ya Kiislamu na mapinduzi mengine makubwa katika namna ya kutokea kwake, sifa nyingine ya kipekee ya mapinduzi hayo inahusu uongozi wa mapinduzi yenyewe.

 • Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (1): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani

  Jul 06, 2020 05:19

  Karne ya 20 tunaweza kuipa jina la Karne ya Mapinduzi. Mapinduzi ya mwanzo makubwa yaliyotokea katika karne hiyo yalikuwa ya Urusi ya mwaka 1917, yakafuatiwa na mengine kama mapinduzi ya China, Cuba, Iran na Nicaragua. Lakini hakuna shaka kuwa, mapinduzi muhimu zaidi na ya kipekee zaidi katika karne ya 20 yalikuwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979.

 • Jumamosi, Machi 14, 2020

  Mar 14, 2020 02:28

  Leo ni Jumamosi tarehe 19 Rajab 1441 Hijria mwafaka na tarehe 14 machi 2020 Miladia.

 • Jenerali apaa na kukumbatiwa na Malaika

  Jan 12, 2020 12:18

  مِنَ الْمُؤْمِنِینَ رِجَالٌ صَدَقُوا مَا عَاهَدُوا اللَّهَ عَلَیْهِ فَمِنْهُمْ مَنْ قَضَى نَحْبَهُ وَمِنْهُمْ مَنْ یَنْتَظِرُ وَمَا بَدَّلُوا تَبْدِیلًا

 • Jumanne, Juni 4, 2019

  Jun 04, 2019 02:16

  Leo ni Jumanne tarehe 29 Ramadhani 1440 Hijria inayosadifiana na Juni 4 mwaka 2019 Milaadia.

 • Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia Iran

  Apr 09, 2019 12:13

  Tarehe 20 Farvardin Inasadifiana na "Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia" nchini Iran. Katika siku kama hii mwaka 1385 Hijria Shamsia sawa na Aprili 9 2006, wanasayansi na wasomi Wairani walifanikiwa kukamilisha mzunguko wa utegenezaji fueli ya nyuklia katika maabara.

 • Miaka 40 ya Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran

  Feb 12, 2019 10:06

  Assalam Alaykum warhmatullahi wabarakatuh hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kuwa nasi tena katika kipindi hiki maaluimu kinachokujieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya mwaka wa 40 wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran. Endeleeni kuwa nami hadi mwisho wa kipindi hiki.

 • Alfajiri Kumi na Ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu

  Feb 02, 2019 13:15

  Tarehe 12 Bahman sawa na tarehe Mosi Februari, inasadifiana na mwanzo wa sherehe za kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran.

 • Miaka 40 na juhudi za kuunganisha madhehebu za Kiislamu

  Feb 02, 2019 04:35

  Katika mada ya 11 ya Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kwa msingi wa Aya ya Qur'ani Tukufu inayosema: Hakika umma wenu huu ni umma mmoja, na Mimi ni Mola wenu, kwa hivyo niabuduni Mimi, serikali ya Jamhuri ya Kiislamu inawajibika kuratibu siasa zake kuu kwa msingi wa kuleta umoja na mshikamano wa kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni kati ya mataifa yote ya Kiislamu.