• Makala maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka kuzaliwa Imam Sajjad AS

  Apr 10, 2019 18:04

  Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika dakika hizi za kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Hussein Zainul Abidiin AS mmoja wa Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW. Kabla ya jambo lolote tunatoa mkono wa baraka na fanaka kwa wapenzi wote wa Ahlul Bait AS na wapenzi wote wa haki duniani kwa mnasaba huu tukiwa na matumaini mtakuwa nasi hadi mwisho wa kipindi.

 • Hekima na busara katika fikra za Imam Musa al Kadhim AS

  Sep 01, 2018 02:05

  Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh wasikilizaji wapenzi. Karibuni katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Imam Mussa al Kadhim AS. Ni matumaini yangu utakuwa nami hadi mwisho wa makala hii.

 • Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Sajjad AS

  Apr 21, 2018 11:09

  Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika dakika hizi chache za kipindi hiki maalumu ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Hussein Zainul Abidiin AS mmoja kati ya Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW. Ni matarajio yangu kuwa mtakuwa nami hadi mwisho wa kipindi karibuni.

 • Abbas bin Ali (AS) alivyopambika kwa fadhila kubwa za uungwana

  Apr 20, 2018 16:28

  Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi na karibuni katika makala hii maalumu ambayo tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Abul Fadhlil Abbas, mwana wa Imam Ali AS na ambaye alikuwa jemedari shujaa na uti wa mgongo wa Imam Husain AS katika mapambano ya Karbala.

 • Imam Husain (AS) Nyota ya Fadhila (Kwa mnasaba wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa Imam Husain AS)

  Apr 19, 2018 20:31

  Tarehe 3 Shaaban ni siku ambayo mji wa Madina ulishuhudia kuzaliwa mtoto mwingine katika nyumba ya Bibi Fatimatuz Zahra SA binti mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW. Huyo alikuwa ni mtoto wa pili kuzaliwa katika familia hiyo ambayo Mtume Muhammad SAW alikuwa siku zote akiwaita watu wa familia hiyo kuwa ni Ahlul Bayt wake na daima akiwaombea dua za kheri na amani. Katika Qur'ani Tukufu pia kuna aya inayotaja ubora, utukufu na usafi wa watu wa nyumba hiyo.

 • Malengo ya kubaathiwa Mtume Muhammad (SAW) kwa mtazamo wa Imam Khomein (MA)

  Apr 13, 2018 20:26

  As-Salamu Alaykum wapenzi wasikilizaji, na karibuni kujumuika nami katika dakika hizi chache za kipindi kingine cha makala ya wiki, ambacho hii leo kitazungunmzia malengo ya kubaathiwa Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) kwa mtazamo wa Imam Khomein (MA), karibuni.

 • Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Musa al Kadhim AS

  Apr 11, 2018 16:30

  Bismillahir Rahmanir Rahim. Leo wasikilizaji wapenzi tumekuandalieni kipindi maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Musa al Kadhim, Imam wa Saba katika silisila ya Maimamu wa kizazi kitoharifu cha Bw. Mtume Muhammad SAW. Leo tutatoa sira na historia fupi ya mtukufu huyo tukiwa na matumaini mtanufaika vya kutosha na Makala hii fupi tuliyokuandalieni kwa mnasaba huu. Karibuni.

 • Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam Ali AS

  Mar 30, 2018 16:15

  Bismillahir Rahmanir Rahim. Karibuni wasikilizaji wapenzi katika kipindi hiki maalumu ambacho tumekuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Abi Talib AS. Siku hii kwa hapa nchini Iran inajulikana pia kwa jina la Siku ya Baba.

 • Kwa mnasaba wa kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam Jawad AS

  Mar 27, 2018 18:16

  Siku ya Kumi ya Mwezi wa Rajab inasadifiana na siku ya kuzaliwa Imam Jawad AS. Mwaka 195 Hijria Qamaria katika siku kama hii Imam Mohammad Taqi AS ambaye ni mashuhuri kwa lakabu ya Jawad kwa maana ya mkarimu, alizaliwa katika mji wa Madina. Ni Imamu wa Tisa katika kizazi cha Maimamu 12 kutoka katika Nyumba ya Mtume SAW .

 • Kwa mnasaba wa siku ya kuuawa shahidi Imam Hadi AS

  Mar 20, 2018 21:57

  Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wasikilizaji wapenzi na karibuni kuwa nasi katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali al Hadi ambaye alikuwa miongoni mwa wajukuu wa Mtume wetu Muhammad (SAW).