• Kumbukumbu ya kufa shahidi Bibi Fatima Zahra AS

  Feb 19, 2018 15:28

  Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima Zahra (a.s) binti mtukufu wa Bwana Mtume (s.a.w) na mwanamke bora duniani na akhera, mwanamke ambaye ni kigezo na ruwaza njema. Amani iwe juu yako Ewe Fatma Zahra mwanamke bora wa duniani na Akhera, Bibi wa wanawake wa peponi, Mtukufu as-Sidiqah at-Tahirah Fatimatuz Zahra (Salaamullahi Alayha).

 • Kumbukumbu ya Kuzaliwa Bibi Zaynab al Kubra AS

  Jan 23, 2018 08:13

  Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika kipindi hiki maalumu nilichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyozaliwa Bibi Zaynab al-Kubra (a.s) binti ya Imam Ali bin Abi Talib (a.s); mwanamke ambaye aliondokea kuwa mashuhuri kutokana na fadhila, elimu, subira na ushujaa mkubwa aliokuwa nayo.

 • Imam Ridha AS na risala yake iliyojaa siri za afya

  Nov 18, 2017 16:48

  Leo mji mtakatifu wa Mashhad umetanda huzuni na majonzi katika haram ya Ali bin Musa Ridha AS. Idadi kubwa ya waombolezaji wamefika katika haram hiyo kwa ajili ya kuombleza. Leo ni siku ya kukumbuka kuuawa shahidi Imam Ali bin Musa Ridha AS ambaye ni kutoka katika kizazi kilichotakasika cha Mtume Muhammad SAW.

 • Kumbukumbu ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa ar Ridha (AS)

  Nov 18, 2017 16:41

  Assalaam Alaykum. Tuko katika siku ya mwisho ya mwezi wa Safar, siku ambayo ni kumbukumbu ya kukumbuka siku ya kuuawa shahidi Imam Ali bin Mussa Ridha (as) mmoja kati ya watu wa Nyumba tukufu ya Mtume Mtukufu Muhammad (saw).

 • Imam Swadiq AS kigezo chema cha Waislamu

  Jul 19, 2017 16:33

  Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Ni matumaini yangu kuwa hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujumuika nami katika kipindi hiki maalumu ambacho leo kitazungumzia maisha ya Imam Jafar Swadiq AS.

 • Ali AS, dhihirisho la dua na kumtaradhia Allah

  Jun 15, 2017 13:39

  Assalaamu Alaykum Warahmatullahi Wabarakaatuh. Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika makala hii maalumu inayokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka tukio chungu la kuuawa shahidi Imam Ali bin Abi Twalib AS. Ni matumaini yangu kwamba mtaendelea kuwa kando ya redio zenu kusikiliza niliyokuandalieni.

 • Pamoja na Imam Hasan al Mujtaba AS (kwa mnasaba wa siku ya kuzaliwa kwake)

  Jun 10, 2017 03:10

  Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji. Mwezi 15 Ramadhani ni siku inayosadifiana na maadhimisho ya siku ya kuzaliwa Imam Hasan al Mujtaba, mjukuu mpenzi wa Bwana Mtume Muhammad SAW.

 • Makala maalumu kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Sajjad AS

  May 01, 2017 09:52

  Assalaam Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika dakika hizi chache za kipindi hiki maalumu ambacho kinakujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Imam Ali bin Hussein Zainul Abidiin AS mmoja kati ya Watu wa Nyumba Tukufu ya Mtume Muhammad SAW.

 • Kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuzaliwa Bibi Fatimatuz Zahra SA

  Mar 18, 2017 09:37

  Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni katika kipindi hiki maalumu kinachokujieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyolaziwa Bibi Fatma Zahra as, binti ya Mtukufu Mtume saw. Huku tukitoa mkono wa kheri, Baraka na fanaka tuna matumaini kwamba, mtanufaika nay ale niliyokuandalieni kwa manasaba huu.

 • Kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatimatuz Zahra SA

  Feb 28, 2017 11:26

  Bismillahir Rahmanir Rahim. Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nasi katika kipindi hiki maalumu tulichokuandalieni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyokufa shahidi Bibi Fatima Zahra SA binti mtukufu wa Bwana Mtume SAW na mwanamke bora duniani na Akhera, mwanamke ambaye ni kigezo na ruwaza njema.