-
Mapinduzi ya Kiislamu; ustaarabu mpya wa Kiislamu (2)
Jan 31, 2022 10:42Taarifa ya 'Hatua (marhala) ya Pili ya Mapinduzi' ulikuwa ujumbe mpya ulioelekezwa kwa taifa la Iran na hasa kwa tabaka la vijana wa nchi hii, ambao ndio nguzo kuu ya "hatua ya pili ya kujijenga, kuzingatia jamii na ustaarabu." Moja ya mahitaji ya ustaarabu mpya wa Kiislamu ni kuwa na uelewa wa juu zaidi na kudumisha umoja na mshikamano.
-
Siku ya Kufutwa Utumwa Duniani
Dec 06, 2021 16:48Kwa jina la Mwenyezi Mungu, aliyemuumba mwanadamu akiwa huru, hakumfanya mtu yeyote kuwa mtumwa wa mwingine na hakuumba kiumbe chochote isipokuwa kwa ajili ya kumwabudu Yeye mwenyewe, ambaye ni Muumba na anayestahiki kuabudiwa.
-
Adabu za kusema na kuzungumza na watu
Dec 06, 2021 13:24Sisi sote tunaelewa kwamba, shakhsia na hali ya ndani ya nafsi ya wanadamu huwa na taathira ya moja kwa moja katika mwenendo wake na jinsi ya kusema na kuzungumza kwake na wanadamu wenzake.
-
Jumapili tarehe 30 Mei 2021
May 30, 2021 02:43Leo ni Jumapili tarehe 18 Mfunguo Mosi Shawwal 1442 Hijria sawa na Mei 30 mwaka 2021.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (10)
May 10, 2020 13:31Assalaam Aalaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ambacho huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (9)
May 10, 2020 13:21Assalaam Aalaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ambacho huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao.
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (8)
May 10, 2020 13:19Assalaam Aalaykum wapenzi wasikilizaji popote pale mlipo na karibuni katika sehemu nyingine ya kipindi hiki cha Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu ambacho huwatambulisha na kuwazungumzia Maulamaa wakubwa wa Kishia, mchango wao katika Uislamu pamoja na vitabu na athari zao
-
Mchango wa Maulamaa wa Kishia Katika Uislamu (1) +SAUTI
Feb 15, 2020 08:35Assalaamu Alaykum Wapenzi Wasikilizaji wa Radio Tehran, Idhaa ya Kiswahili Sauti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran popote pale mlipo hususan huko nyumbani Afrika Mashariki.
-
Wiki ya Umoja wa Kiislamu-2 (Ruwaza Njema)
Nov 11, 2019 07:56Alipozaliwa alipewa jina la Muhammad lenye maana ya msifiwa. Jina hili hakuwahi kupewa kiumbe mwingine kabla yake yeye. Jina hilo, kama alivyokuwa yeye mwenyewe, liliteuliwa na Mwenyezi Mungu Muweza na lilitajwa katika vitabu vya Mitume waliotangua.
-
Ruwaza Njema (11)
Feb 06, 2019 14:17Assalaam Aleikum wapenzi wasikilizaji na karibuni kusikiliza sehemu ya 11 ya kipindi hiki cha Ruwaza Njema ambapo kwa leo tutazungumzia sifa njema ya Mtume Mtukufu (saw) ambaye ni mbora wa viumbe, ya kusamehe watu na kuwaongoza kwenye heri kuu, hata tunapokuwa na uwezo wa kulipiza kisasi kwa mabaya waliyotufanyia.