• Sababu zilizoyafanya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yadumu

  Sababu zilizoyafanya Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yadumu

  Feb 07, 2021 10:28

  Kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran ambayo kilele chake ni tarehe 22 Bahman (10 Februari), tumekuandalia makala hii maalumu itakayozungumzia sababu zilizoyafanya mapinduzi hayo yadumu licha ya kupita miongo minne tangu kutokea kwake.

 • Leo ni Jumapili tarehe 7 Februari mwaka 2021

  Leo ni Jumapili tarehe 7 Februari mwaka 2021

  Feb 07, 2021 08:34

  Leo ni Jumapili tarehe 24 Jamadithani 1442 Hijria sawa na Februari 7 mwaka 2021.

 • Mapinduzi ya Kiislamu katika njia ya kuhuisha ustaarabu wa Kiislamu

  Mapinduzi ya Kiislamu katika njia ya kuhuisha ustaarabu wa Kiislamu

  Feb 07, 2021 06:55

  Licha ya kupitia milima na mabonde mengi, lakini kufikia sasa Jamhuri ya Kiislamu imefanikiwa kulinda nafasi na itibari yake ndani na nje ya nchi na ikiwa inaingia katika mwaka wake wa 42, imeongeza kasi yake kuelekea ustaarabu mpya wa Kiislamu.

 • Kusimama kidete Iran mbele ya vikwazo

  Kusimama kidete Iran mbele ya vikwazo

  Feb 06, 2021 07:36

  Ni matumaini yangu kuwa, hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni katika sehemu nyingine ya mfululizo wa vipindi hivi maalum vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mpainduzi ya Kiislamu ya Iran.

 • Jumanne, Februari 2, 2021

  Jumanne, Februari 2, 2021

  Feb 02, 2021 02:58

  Leo Jumanne tarehe 19 Mfunguo Tisa Jamadithani 1442 Hijria mwafaka na tarehe Februari Pili 2021 Miladia.

 • Imam Khomeini, Kiongozi Kipenzi

  Imam Khomeini, Kiongozi Kipenzi

  Feb 01, 2021 05:48

  Assalaamu Alaykum wasikilizaji wapenzi popote pale mlipo. Karibuni katika mfululizo huu wa vipindi maalumu vinavyokujieni kwa mnasaba wa kumbukumbu ya Alfajiri Kumi kuelekea kilele cha maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya nchini Iran.

 • Jumapili, Januari 31, 2021

  Jumapili, Januari 31, 2021

  Jan 31, 2021 02:53

  Leo ni Jumapili tarehe 17 Mfunguo Tisa Jamadithani 1442 Hijria mwafaka na tarehe 31 Januari 2021 Miladia.

 • Rouhani: Taifa la Iran lilisambaratisha udikteta na ubeberu

  Rouhani: Taifa la Iran lilisambaratisha udikteta na ubeberu

  Jan 30, 2021 12:20

  Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Taifa la Iran kwa mapambanao na muqawama limeweza kusambaratisha ubeberu."

 • Iran yalalamikia taarifa ya Ufaransa ya kumuunga mkono mhalifu aliyenyongwa

  Iran yalalamikia taarifa ya Ufaransa ya kumuunga mkono mhalifu aliyenyongwa

  Dec 14, 2020 04:50

  Iran imemuita balozi wa Ufaransa mjini Tehran Philippe Thiebaud kulalamikia taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya nchi hiyo ya Ulaya ambayo imelaani kutekelezwa hukumu ya kunyongwa Ruhullah Zam, aliyepatikana na hatia ya kusimamia mtandao uliokuwa ukiendesha propaganda chafu dhidi ya Mapinduzi ya Kiislamu.