• Rais Rouhani katika ujumbe wa Nowruz mwaka 1398: Taifa la Iran kwa yakini litapata ushindi

  Rais Rouhani katika ujumbe wa Nowruz mwaka 1398: Taifa la Iran kwa yakini litapata ushindi

  Mar 21, 2019 03:53

  Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema Alhamisi ametuma ujumbe kwa kunasaba wa kuanza mwaka mpya wa 1398 Hijria Shamsiya na kusema mwaka 1397 ulikuwa mwaka wa mafanikio makubwa ya taifa la Iran katika nyuga mbali mbali na kuongeza kuwa, kwa yakini taifa la Iran litapata ushindi na litavuka matatizo yaliyopo.

 • Matamshi ya Kiongozi Muadhamu kuhusiana na matukio mbalimbali ya kieneo

  Matamshi ya Kiongozi Muadhamu kuhusiana na matukio mbalimbali ya kieneo

  Mar 22, 2018 06:57

  Jumatano ya jana Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu alikutana na idadi kubwa ya wafanya ziara na wakazi wanaoishi jirani na Haramu Tukufu ya Imam Ridha (as) mjini Mash'had kwa mnasaba wa sikukuu ya Nairuzi, ambapo alitoa ufafanuzi jumla kuhusiana na matukio mbalimbali ya eneo la Mashariki ya Kati na masuala ya dharura ya kiuchumi pamoja na mambo mengine muhimu.

 • Kiongozi Muadhamu: Iran imesambaratisha njama za Marekani katika Mashariki ya Kati

  Kiongozi Muadhamu: Iran imesambaratisha njama za Marekani katika Mashariki ya Kati

  Mar 21, 2018 17:04

  Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, katika miaka iliyopita, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeweza kutundika juu bendera ya izza, heshima na uwezo wa kitaifa katika Mashariki ya Kati na imekuwa na nafasi muhimu mno katika kuwasambaratisha matakfiri na kuleta amani na usalama.

 • Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwaka mpya wa Kiirani

  Ujumbe wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa kuwadia mwaka mpya wa Kiirani

  Mar 21, 2018 13:31

  Taifa la Iran limeanza sherehe za mwaka mpya wa Nairuzi kwa ujumbe muhimu wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, ujumbe ambao una nukta muhimu zinazotia matumaini kuhusiana na mustakbali wa taifa.

 • Rais Rouhani: Umoja wa taifa la Iran umewashangaza maadui

  Rais Rouhani: Umoja wa taifa la Iran umewashangaza maadui

  Mar 21, 2018 04:33

  Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa ujumbe wa mwaka mpya wa 1397 Hijria Shamsia akisema kuwa, mwaka uliomalizika wa 1396 ulikuwa mwaka wa mafanikio na ushindi wa taifa kubwa la Iran katika nyanja mbalimbali licha ya njama zote za wanaoitakia mabaya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

 • Kiongozi Muadhamu: Mwaka 1397 hijria shamsia, mwaka wa

  Kiongozi Muadhamu: Mwaka 1397 hijria shamsia, mwaka wa "kuunga mkono bidhaa za Iran"

  Mar 20, 2018 17:16

  Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei, ameutangaza mwaka mpya wa 1397 hijria shamsia kuwa mwaka wa "kuunga mkono bidhaa za Iran".

 • Nowruz Katika Utamaduni na Mafundisho ya Kiislamu

  Nowruz Katika Utamaduni na Mafundisho ya Kiislamu

  Mar 25, 2017 11:41

  Tuko katika siku za awali za mwaka mpya wa Kiirani wa 1396 Hijria Shamsia ambao ulianza Machi 21. Siku za kuanza mwaka mpya wa Kiirani hujulikana kama Nowruz au Nairuzi na huadhimishwa kwa furaha na shangwe kote Iran na nchi zinazozungumza Kifarsi pamoja na mataifa yote ambayo kwa njia moja au nyingine yana uhusiano na ustaarabu na utamaduni wa Iran.