-
Mufti wa Quds ataka kuchukuliwa hatua za kukabiliana na hujuma dhidi ya Masjdul-Aqswa
Apr 15, 2021 08:19Mufti wa Quds na ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu amewataka viongozi wa mataifa ya Kiarabu, ya Kiislamu na wananchi wa mataifa hayo kuchukua hatua za haraka za kusitisha hujuma za utawala haramu wa Israel dhidi ya Msikiti wa al-Aqswa.
-
Wapalestina wakasirishwa na kitendo chha Wazayuni cha kuzuia adhana kwa kutumia vipaza sauti
Apr 14, 2021 11:29Serikali ya Mamlaka ya Ndani ya Palestina na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS zimelaani vikali hatua ya utawala haramu wa Israel ya kukata nyaya za vipaza sauti katika Msikiti wa al-Aqswa na kuzuia kuadhiniwa kwa kutumia vipaza sauti.
-
Waislamu wahamakishwa na hatua ya Kosovo kufungua ubalozi Quds
Mar 15, 2021 10:50Waislamu wameghadhabishwa mno na kitendo cha Kosovo kufungua ubalozi wa nchi hiyo ndogo ya Ulaya katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.
-
Wanajeshi wa Israel wamkamata Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa
Mar 10, 2021 12:25Wanajeshi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamemkamata Khatibu wa Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds (Jerusalem).
-
Mufti Mkuu wa Misri aonya dhidi ya mpango wa Israel wa kuiyahudisha Quds
Feb 27, 2021 12:07Mufti Mkuu wa Misri ametadharisha juu ya njama ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuuyahudisha mji mtukufu wa Quds unaokaliwa kwa mabavu, na kufuta kabisa utambulisho wake halisi.
-
Manung'uniko baada ya Equatorial Guinea kusema itahamishia ubalozi wake Quds
Feb 20, 2021 12:42Hatua ya mtawala wa muda mrefu wa Equatorial Guinea kusema kuwa nchi hiyo itauhamishia ubalozi wake mjini Quds Tukufu unaokaliwa kwa mabavu na utawala wa Kizayuni wa Israel kutoka Tel Aviv imekosolewa vikali ndani ya nje ya nchi.
-
Wazayuni waendelea kuchimba mashimo na kubomoa Msikiti wa Al-Aqswa
Dec 12, 2020 02:59Wazayuni wamekithirisha njama zao dhidi ya msikiti wa al-Aqswa kwa kuendelea kuchimba mashimo na njia za chini kwa chini kuelekea KATIKA msikiti huo mtakatifu ambao ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Mwakilishi wa mfalme wa Bahrain aingia msikiti wa Al Aqsa kwa kificho kwa kuwahofu Wapalestina
Nov 30, 2020 11:25Mwakilishi wa Mfalme wa Bahrain na wenzake aliofuatana nao wameingia msikiti wa Al Aqsa kwa kujificha wakihofu wasije wakatambuliwa na Wapalestina.
-
Tangazo la biashara la shirika la ndege la UAE lapotosha jina la Msikiti wa Al Aqsa
Nov 17, 2020 05:37Shirika la ndege la taifa la Umoja wa Falme za Kiarabu limepotosha jina la msikiti wa Al Aqsa katika filamu ya tangazo la biashara lililotoa kutangaza safari zake kuelekea ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina zilizopewa jina la Israel.
-
Malawi kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kufungua ubalozi Quds inayokaliwa kwa mabavu
Nov 05, 2020 03:57Malawi inatazamiwa kuwa nchi ya kwanza ya Afrika kufuata mkumbo wa Marekani wa kufungua ubalozi katika mji mtukufu wa Quds huko Palestina unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.