-
Taliban: Watangazaji wanawake wanapotangaza katika televisheni wafunike nyuso zao
May 20, 2022 07:43Serikali ya muda ya Taliban nchini Afghanistan imetoa amri kwa watangazaji wanawake wanaofanya kazi katika chaneli za televisheni za nchi hiyo wafunike sura zao wakati wanapotangaza.
-
Taliban: Hatuna uadui wowote na Marekani, tunafirikia kuanzisha nayo uhusiano mzuri
May 17, 2022 11:24Waziri wa Mambo ya Ndani wa Taliban Sirajuddin Haqqani amesisitiza kuwa, kwa sasa, serikali ya Afghanistan si tu haiitazami Marekani kama adui, bali inafikria pia kuanzisha uhusiano mzuri na Washington.
-
Kiongozi wa Taliban atoa agizo jipya kuhusu Hijabu kwa wanawake wa Afghanistan
May 08, 2022 12:16Kiongozi Mkuu wa Taliban nchini Afghanistan Haibatullah Akhunzada ametoa agizo lenye vipengee vinne la sheria mpya kuhusu mipaka ya vazi la Hijabu kwa wanawake wa nchi hiyo.
-
Indhari kuhusu hali mbaya ya kibinadamu Afghanistan
May 07, 2022 01:18Ofisi ya Mkaguzi Mkuu Maalumu wa Marekani kwa ajili ya ujenzi mpya wa Afghanistan (SIGAR) imetahadharisha kuhusu taathira za hali mbaya ya kibinadamu nchini humo.
-
Iran: Tuko tayari kuipa Afghanistan teknolojia ya kupambana na ukame
May 04, 2022 11:51Mjumbe wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya Afghanistan amesema kuwa, Tehran iko tayari kuipa Kabul teknolojia ya kupambana na ukame na vumbi linalofunika anga za maeneo mmbalimbali ya Afghanistan.
-
Amani iliyotoweka katika baadhi ya nchi za Kiislamu
May 03, 2022 10:41Wakati nchi za Kiislamu zinasherehekea Idul Fitr na Waislamu wakiwa katika sikukuu na mapumziko baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, katika baadhi ya nchi za Kiislamu ikiwa ni pamoja na Afghanistan, amani na usalama inaonekana kuwa kiungo muhimu zaidi kinachokosekana katika maisha ya watu wa nchi hizo.
-
Qalibaf: Kuunda serikali jumuishi ni muhimu ili kuhakikisha usalama wa Afghanistan
May 01, 2022 08:09Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema kuwa kuasisi serikali shirikishi ni jambo lenye umuhimu kwa ajili ya kuhakikisha usalama endelevu nchini Afghanistan.
-
Alkhamisi, Aprili 28, 2022
Apr 28, 2022 02:41Leo ni Alkhamisii tarehe 26 Ramadhani 1443 Hijria, sawa na Aprili 28 mwaka 2022 Milaadia.
-
Jumatano tarehe 27 Aprilii 2022
Apr 27, 2022 02:29leo ni Jmatano tarehe 25 Ramadhani 1443 Hijria, sawa na Aprili 27 mwaka 2022.
-
Taliban yatoa wito kwa Waislamu duniani kusimama dhidi ya Israel
Apr 26, 2022 11:08Naibu msemaji wa serikali ya mpito ya Taliban nchini Afghanistan amesema umoja ni msingi wa Uislamu na hivyo kadhia ya Palestina inapaswa kushughulikiwa kwa msingi huo.