-
Corona imeua wanahabari 28 barani Afrika tokea Machi 2020
Jan 07, 2021 02:37Shirika moja la kufuatilia maslahi ya waandishi wa habari la Uswisi limesema jumla ya waandishi wa habari 600 wameaga dunia kutokana na ugonjwa wa Covid-19 kote duniani tokea mwezi Machi mwaka uliomalizika 2020 hadi sasa, ambapo 28 miongoni mwao ni wa nchi za Afrika.
-
Matokeo ya kuendelea kuwepo kijeshi Ufaransa barani Afrika
Jan 03, 2021 12:23Uwepo wa kijeshi wa Ufaransa katika maeneo mbalimbali barani Afrika ungali unaendelea.
-
Zimbabwe yaanza tena kutekeleza karantini nchi nzima
Jan 03, 2021 07:59Serikali ya Zimbabwe imetangaza kuwa sheria ya karantini ya nchi nzuma imeanza kutekelezwa nchini humo kwa mara nyingine tena kuanza jana usiku kutokana na kuongezeka maambukizi mapya ya corona.
-
Eneo la Biashara Huru la Afrika, AfCFTA, laanza rasmi kazi
Jan 02, 2021 02:45Eneo la Biashara Huru la Afrika, AfCFTA, limezinduliwa rasmi Januari Mosi 2021 ikiwa ni hatua kubwa katika kujumuisha soko la pamoja la nchi za Afrika.
-
CDC yaonya dhidi ya hatari ya kuicheleweshea Afrika chanjo ya Covid-19
Jan 01, 2021 04:15Taasisi kuu ya kudhibiti magonjwa barani Afrika imetahadharisha kuwa, dunia itajiingiza katika matatizo ya kimaadili iwapo nchi za Afrika zitachelewa kupokea chanjo za ugonjwa wa Covid-19, wakati huu ambapo aghalabu ya nchi tajiri duniani zimeanza kuwachanja wananchi wao.
-
Afrika Kusini yaweka sheria kali baada ya kesi za corona kupindukia milioni 1
Dec 29, 2020 03:45Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ametangaza sheria kali za kudhibiti msambao wa virusi vya corona, baada ya nchi hiyo kusajili kesi zaidi ya milioni moja ya ugonjwa wa Covid-19 kufikia sasa.
-
Kuanza kuondoka askari wa jeshi la Marekani nchini Somalia; kujipanga upya kijeshi Washington barani Afrika
Dec 21, 2020 13:45Marekani imeanza kuwaondoa wanajeshi wake walioko nchini Somalia kwa madhumuni ya kuwapeleka katika vituo vyake vingine mashariki mwa Afrika.
-
WHO yataka kukabiliana kwa njia bora na maambukizi ya corona barani Afrika
Dec 18, 2020 12:20Shirika la Afya Duniani (WHO) limetaka kuzidishwa hatua za kukabiliana na maambukizi ya virusi vya corona barani Afrika khususan katika msimu wa Sikukuu za Mwaka Mpya kufuatia kuongezeka idadi ya maambukizi ya corona barani humo.
-
Waziri Mkuu wa Eswatini (Swaziland) aaga dunia kwa COVID-19
Dec 14, 2020 07:38Ambrose Dlamini, Waziri Mkuu wa Eswatini (Swazilanda) ambaye alikuwa amelazwa hospitalini huko Afrika Kusini, ameaga dunia kutokana na virusi vya maradhi ya corona au COVID-19
-
Afrika CDC yakosoa rasmi suala la kutokuwepo usawa katika ugawaji chanjo ya corona
Dec 10, 2020 12:32Afisa wa ngazi ya juu wa Afya ya Jamii barani Afrika amesema kuwa litakuwa jambo la kushangaza sana kuona nchi tajiri duniani zinapata chanjo ya kukabiliana na ugonjwa wa Covid-19 huku nchi za Kiafrika zikisalia patupu; hasa kunapoanza wimbi jipya la kesi za maambukizi ya corona katika bara hilo lenya watu bilioni 1.3.