-
China yawaasa viongozi wa Marekani wachunge kauli zao kuhusiana na Taiwan
May 24, 2022 07:18China imetoa jibu kali dhidi ya uingiliaji wa waziwazi wa Marekani katika masuala ya ndani ya nchi hiyo. Beijing imewaasa viongozi wa Washington wachunge kauli wanazotoa kuhusiana na Taiwan.
-
Safari ya Waziri wa Ulinzi wa China mjini Tehran; ukurasa mpya katika uhusiano wa kiulinzi na kijeshi wa pande mbili
Apr 28, 2022 07:11Jenerali Wei Fenghe, Waziri wa Ulinzi wa China aliwasili mjini Tehran siku ya Jumatano kwa ajili ya kuonana na kufanya mazungumzo na Brigedia Jenerali Mohammad Reza Gharaei Ashtiani, Waziri mwenzake wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Onyo jipya la kijeshi la Marekani kwa China
Apr 25, 2022 02:18Mashindano ya kijeshi na kiusalama baina ya Marekani na China katika eneo la Indo-Pasifiki yamechukua muelekeo mpya kutokana na jitihada za pande mbili za kujiimarisha kijeshi katika eneo hilo muhimu kistratijia.
-
Jumapili tarehe 24 Aprili 2022
Apr 24, 2022 02:22Leo ni Jumapili tarehe 22 Ramadhani 1443 Hijria sawa na Aprili 24 mwaka 2022.
-
China yaonya kuhusu matokeo mabaya kimataifa ya vikwazo dhidi ya Russia
Apr 15, 2022 07:33Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China ameonya dhidi ya kuenea ulimwenguni taathira hasi za vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi ya Russia. Zhao Lijian pia ameitaka Marekani kuchukua jukumu maalum la kuzingatia sheria za mfumo wa uchumi wa dunia na kudumisha uthabiti wake.
-
Ripoti: China inaimarisha silaha za nyuklia kukabiliana na tishio la Marekani
Apr 12, 2022 02:53Imedokezwa kuwa China imeongeza kasi ya upanuaji wa silaha zake za nyuklia baada ya tathmini mpya kuhusu tishio la Marekani kwa nchi hiyo.
-
China: Marekani inatesa wafungwa kwenye jela za siri, haina haki ya kuzinyooshea kidole nchi nyingine
Apr 10, 2022 04:15China imeituhumu Marekani kuwa inafanya mateso ya kutisha dhidi ya wafungwa katika jela za siri (black sites) katika nchi washirika, ikisisitiza kwamba Washington haina haki ya kuikosoa nchi nyingine yoyote kwa ukiukaji wa haki za binadamu.
-
China yaitaka Uingereza iachane na fikra za kikoloni
Apr 03, 2022 02:41Serikali ya China imelaani vikali uingiliaji wa Uingereza katika masuala ya ndani ya mji wa Hong Kong na kusisitiza kuwa, nchi hiyo ya Ulaya inapaswa kuachana na fikra zake za kikoloni.
-
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na China Wasisitiza Udharura wa Kukabiliana na Vikwazo Haramu
Apr 02, 2022 08:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Hossein Amir-Abdollahian na mwenzake wa China, Wang Yi wamejadili masuala ya pande mbili, kieneo na kimataifa pembezoni mwa mkutano wa tatu wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi jirani na Afghanistan.
-
Sisitizo la China la kuzidishwa ushirikiano kati yake na Russia
Apr 02, 2022 02:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya China amesema ushirikiano wa nchi yake na Russia hauna mpaka. Wang Wenbin amesisitiza kuwa ipo haja ya kuendelezwa ushirikiano kati ya China na Russia katika sekta mbalimbali ikiwemo masuala ya usalama.