• Bolton: Mikono ya Trump imejaa damu

  Jan 17, 2021 07:23

  Mshauri wa zamani wa usalama wa taifa wa Marekani amesema kuwa mikono ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo imejaa damu ya watu wasio na hatia

 • Utawala wa Trump waendelea kutekeleza siasa zilizofeli dhidi ya Iran

  Jan 17, 2021 06:18

  Ikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kumalizika rasmi utawala wa Rais Donald Trump nchini Marekani, utawala huo umeamua kuongeza mashinikizo ya juu zaidi na vikwazo dhidi ya mfumo wa Kiislamu wa Iran.

 • Trump; maafa na msiba kwa haki za binadamu

  Jan 16, 2021 03:41

  Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake wenye utata mwingi nchini Marekani, Rais Donald Trump ameacha nyuma historia nyeusi kuhusu suala zima la haki za binadamu, huku akilaumiwa na kukosolewa vikali katika siku za mwisho za utawala wake.

 • Muswada wa kumzuia Trump kuingia Congress maisha yake yote

  Jan 15, 2021 14:19

  Mbunge wa chama cha Democrat wa jimbo la Georgia amewasilisha bungeni muswada ambao iwapo itapitishwa utamzuia Rais Donald Trump wa Marekani kuweka mguu wake katika Congress ya nchi hiyo.

 • Asilimia 80 ya Wamarekani wanaamini nchi yao inasambaratika

  Jan 15, 2021 04:36

  Uchunguzi mpya wa maoni umebaini kuwa, karibu asilimia 80 ya Wamarekani wote wanaamini kuwa nchi yao inaelekea kusambaratika.

 • Rouhani: Mwisho wa serikali ya Trump umeonyesha ubabe hauna mwisho mwema

  Jan 13, 2021 14:25

  Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufedheheka na kuaibika utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani katika siku zake za mwisho ni ishara kuwa, ubaguzi wa rangi na ukiukwaji sheria ni mambo ambayo hayana mwisho mwema.

 • Hatua mpya ya serikali ya Trump dhidi ya Cuba

  Jan 13, 2021 10:30

  Ikiwa ni katika kudumisha siasa zake za uhasama dhidi ya serikali za mrengo wa kushoto katika eneo la Amerika ya Latini, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani kwa mara nyingine imelirejesha jina la Cuba katika orodha ya nchi zinazodaiwa kuunga mkono ugaidi.

 • Benki ya Deutsche ya Ujerumani kufunga akaunti za Donald Trump

  Jan 12, 2021 13:00

  Benki kubwa ya Deutshe nchini Ujerumai imetangaza kuwa itazifunga akaunti za Rais wa Marekani Donald Trump kufuatia matukio yaliyojiri karibui katika Kongresi ya Marekani.

 • Mgogoro wa usalama nchini Marekani

  Jan 12, 2021 12:30

  Uvamizi uliofanywa na wafuasi wa Donald Trump dhidi ya jingo la Kongresi ya Marekani Januari sita mwezi huu na tishio la kuendelea vitendo kama hivi vya utumiaji mabavu sambamba na kujiuzulu maafisa wa usalama wa nchi hiyo, ni mambo ambayo yameifanya Marekani ikabiliwe na mgogoro wa usalama wakati huu wa kukaribia hafla ya kuapishwa rais mteule wa nchi hiyo Joe Biden.

 • Kuanza mwenendo wa kusailiwa Trump

  Jan 11, 2021 13:11

  Hujuma ya tarehe 6 mwezi huu ya wakereketwa na wafuasi sugu wa Rais Donald Trump katika Congress ya Marekani imezua radiamali kali katika nchi hiyo na sasa Wamarekani wanataka rais huyo achukuliwe hatua za kisheria, na tayari Wademokrat wameanzisha mwenendo wa kusailiwa kwake bungeni.