-
Raisi: Uwepo wa utawala wa Kizayuni unadhoofisha usalama wa eneo
Jun 30, 2022 02:54Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uwepo wa utawala wa Kizayuni wa Israel unaibua taharuki na kudhoofisha usalama wa eneo hili la Asia Magharibi.
-
Onyo la Mkuu wa Kamandi ya Majeshi ya Iran kwa Israel
Jun 27, 2022 11:25Kamanda mkuu wa vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuonya vikali utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kuchukua hatua yoyote ya kichokozi katika eneo la Asia Magharibi na kusisitiza kuwa, sera ya Israel ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine na chokochoko zozote za utawala huo katika eneo zitakabiliwa na jibu mwafaka.
-
Ripoti: Wazayuni wamewaua shahidi watoto 15 wa Kipalestina
Jun 27, 2022 11:21Ripoti mpya ya shirika moja la kutetea haki za watoto imesema askari makatili wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamewaua shahidi kwa kuwapiga risasi watoto 15 wa Palestina.
-
NYT: Risasi iliyomuua Shireen Abu Akleh ilifyatuliwa na askari wa Kikosi cha Maalumu cha Israeli
Jun 21, 2022 02:39Uchunguzi mpya wa gazeti la Marekani la New York Times umethibitisha kuwa risasi iliyomuua mwandishi wa habari wa televisheni ya Al Jazeera ya Qatar, Shireen Abu Akleh, ilifyatuliwa na mwanajeshi wa kikosi maalumu cha Israel, katika eneo ambalo halikuwa na mwanamgambo hata mmoja wa Kipalestina.
-
Iraq yatakiwa kuchunguza wizi wa mafuta yanayopelekwa Israel
Jun 18, 2022 11:28Serikali ya Iraq imetakiwa ifanye uchunguzi wa kina kuhusu wizi wa mafuta ya nchi hiyo katika eneo lenye mamlaka ya ndani la Kurdistan, kaskazini mwa nchi na kupelekwa katika ardhi za Wapalestina zinazokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Wapalestina 3 wauawa shahidi na jeshi la Israel mjini Jenin
Jun 17, 2022 11:26Jeshi katili la utawala haramu wa Israel limewaua shahidi vijana watatu wa Kipalestina katika mji wa Jenin, kaskazini mwa Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
-
Mvutano mpya katika uhusiano wa Russia na Israel baada ya shambulizi dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus
Jun 17, 2022 09:59Uhusiano kati ya Russia na utawala wa Kizayuni wa Israel umeingia katika awamu mpya yenye mivutano baada ya mashambuizi ya Russia dhidi ya Ukraine kutokana na misimamo ya Tel Aviv ya kujiunga na nchi za Magharibi na kuchukua misimamo dhidi ya Russia.
-
Russia: Israel iache mashambulizi dhidi ya Syria au isubiri matokeo mabaya
Jun 13, 2022 10:14Balozi wa Russia nchini Syria amelaani vikali jinai ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kufanya shambulio katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Damascus, mji mkuu wa Syria.
-
Israel yamshinikiza Biden aondea Pegasus kwenye orodha nyeusi ya US
Jun 11, 2022 02:35Maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel wanamshinikiza Rais Joe Biden wa Marekani afute jina la kampuni ya Israel ya NSO ambayo imekuwa ikiuza programu ya kijasusi ya Pegasus kwenye orodha nyeusi ya Washington.
-
Waziri Mkuu wa Israel afanya safari ya kushtukiza Imarati
Jun 09, 2022 23:21Naftali Bennett, Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel yupo Abu Dhabi katika ziara rasmi ya kuutembelea Muungano wa Falme za Kiarabu.