-
Umoja wa Ulaya washindwa kuiwekea Russia vikwazo vya mafuta; hitilafu zaongezeka
May 30, 2022 11:02Jitihada za Umoja wa Ulaya za kufikia muafaka kuhusu kutekeleza awamu ya sita ya vikwazo dhidi ya Russia zimegonga mwamba kwani Hungary ni moja ya wapinzani wakubwa zaidi wa mpango huo. Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Umoja wa Ulaya katika kikao chao maalumu cha Jumapili walijadili mpango wa kuzuia meli za mafuta za Russia kuingiza mafuta Ulaya lakini waruhusu mafuta hayo yaingie kwa mabomba. Hata hivyo mazungumzo hayo yalimalizika bila natija.
-
Kushindwa Umoja wa Ulaya kuiwekea vikwazo vya mafuta Russia
May 18, 2022 03:04Josep Borrell, Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema katika mkutano wake na waandishi wa habari baada ya kikao cha mawaziri wa umoja huo mjini Brussels Ubelgiji kwamba, hakuna uwezekano wa kufikiwa makubaliano kuhusiana na kifurushi cha sita cha vikwazo dhidi ya Russia.
-
Mkutano usio na matunda wa Russia-NATO na kuongezeka kwa mizozo ya pande mbili
Jan 15, 2022 00:44Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Alexander Grushko, ameuambia mkutano wa waandishi wa habari mjini Brussels mwishoni mwa mkutano wa Russia na NATO siku ya Jumatano kwamba, hitilafu za pande mbili zilikuwa wazi na kwamba katika kikao hicho kumejitokeza hitilafu nyingi.
-
Kikao cha Moscow kuhusu Afghanistan na juhudi za kurejesha uthabiti nchini humo
Oct 22, 2021 13:06Kikao cha Moscow kuhusu Afghanistan kilifanyika siku ya Jumatano ya tarehe 20 Oktoba kwa uwenyekiti wa Russia katika mji mkuu huo wa nchi hiyo.
-
Kikao cha kwanza cha nchi watetezi wa chata ya UN chafanyika New York
Sep 24, 2021 03:05Kikao cha kwanza cha kundi la urafiki la nchi watetezi wa hati ya Umoja wa Mataifa kimefanyika mjini New York sambamba na mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa unaoendela huko Marekani.
-
Majirani wa Libya wamaliza mkutano wao; wasisitiza kutopatiwa silaha mamluki
Sep 01, 2021 11:16Kikao cha mataifa jirani na Libya kilichokuwa kikifanyika nchini Algeria kimemalizika huku washiriki wa mkutano huo wakisisitizia ulazima wa kuzuia kupatiwa silaha mamluki na wakati huo huo kukabiliana na hatua za kuzusha mifarakano miongoni mwa Walibya.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN kuhusu Afghanistan
Aug 07, 2021 11:28Kikao maalumu cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusu machafuko yanayoendelea nchini Afghanistan kilifanyika jana Ijumaa mjini New York.
-
Mgogoro wa wakimbizi; italia yataka kuitishwe kikao maalumu cha kutafuta suluhisho
Aug 06, 2021 02:24Waziri wa Mambo ya Ndani wa Italia ametoa wito wa kuitishwa kikao maalumu cha kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa wakimbizi na kugawana wakimbizi hao baina ya nchi za Ulaya kwa uadilifu.
-
Kikao cha viongozi wa Ufaransa na kundi la nchi tano za Sahel
Jul 11, 2021 08:22Rais wa Ufaransa, Emmanuel Macron ameonana na wakuu wa nchi tano za eneo la Sahel ya Afrika ambazo ni Chad, Mali, Burkina Faso, Mauritania na Niger. Ingawa kikao hicho kimefanyika kwa njia ya Intaneti, lakini Rais Mohammad Bazoum wa Niger yeye ameshiriki kikao hicho akiwa ziarani nchini Ufaransa.
-
Safari ya kwanza ya Joe Biden barani Ulaya, mshikamano wa pande mbili za Atlantic na tahadhari kwa Russia
Jun 11, 2021 02:06Rais Joe Biden wa Marekani Jumatano wiki hii aliekelea barani Ulaya ikiwa safari yake ya kwanza nje ya nchi baada ya kushika hatamu za uongozi.