-
Iran: Tuko tayari kuwanufaisha wengine uzoefu tuliopata wa kukabiliana na corona
May 02, 2020 07:52Mkuu wa Komandi Kuu ya Majeshi ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuyanufaisha mataifa mengine uzoefu wake katika suala la kupambana na ugonjwa wa COVID-19.
-
Kesi za kwanza za Corona zaripotiwa Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan
Feb 25, 2020 01:22Iraq, Kuwait, Bahrain na Afghanistan zimeripoti kesi za kwanza za ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona katika nchi hizo za eneo la Asia Magharibi.
-
Kuwait kuanzisha upya safari za ndege kwenda Yemen
Dec 30, 2019 02:42Emad Al-Jalawi , Naibu wa Masuala ya Usalama na Amani ya Safari za Ndege na Uchukuzi nchini Kuwait amesema kuwa hivi karibuni safari za ndege kutoka nchi hiyo kwenda Yemen zitaanza.
-
Kuwait: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipasi kuwa chini ya vikwazo
Dec 14, 2019 03:06Mwakilishi wa Kuwait katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa amesisitiza kwamba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haipasi kuwa chini ya vikwazo.
-
Sababu za kujiuzulu serikali ya Kuwait
Nov 16, 2019 02:42Waziri Mkuu wa Kuwait Jaber Al-Mubarak Al-Hamad Al-Sabah jana tarehe 14 Novemba alikabidhi hati ya kujiuzulu serikali yake kwa Amir wa nchi hiyo.
-
Maelfu ya raia wa Kuwait wafanya maandamano dhidi ya serikali
Nov 07, 2019 12:59Maelfu ya raia wa Kuwait wamefanya maandamano makubwa kulalamikia hali mbaya ya kiuchumi na kimaisha pamoja na sheria inayohusiana na uraia wa nchi hiyo.
-
Kuwait yazifikishia Saudia na Bahrain ujumbe wa amani kutoka Iran
Nov 06, 2019 07:55Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Kuwait Khaled al-Jarallah amesema nchi yake imezifikishia Saudi Arabia na Bahrain ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wa kutaka amani katika eneo la Ghuba ya Uajemi.
-
Jeshi la Kuwait lajiweka tayari kukabiliana na tukio lolote katika eneo
Sep 19, 2019 07:03Jeshi la Kuwait limetoa taarifa na kueleza kuwa vikosi vya ulinzi vya nchi hivyo vimeajiandaa kukabiliana na matukio na tishio lolote katika eneo.
-
Ripota wa UN: Matatizo ya ukosefu wa amani Nigeria yapewe mazingatio
Sep 03, 2019 08:07Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa amesema kuwa matatizo ya kiusalama ya Nigeria yametengeneza mgogoro ambao unahitajia kupewa mazingatio haraka iwezekanavyo, la sivyo utasababisha ukosefu wa usalama katika nchi nyingine za Kiafrika.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Marekani ndio chanzo hasa cha kukosekana amani katika eneo
Aug 08, 2019 12:31Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, muungano wa kijeshi unaotaka kuundwa na Marekani wa kisingizio cha kudhamini usalama wa vyombo vya majini ndio utakaosababisha kuvurugika zaidi amani na usalama katika eneo.