-
Jumatatu tarehe 22 Novemba 2021
Nov 22, 2021 02:22Leo ni tarehe 16 Rabiuthani 2021 Hijria sawa na tarehe 22 Novemba 2021.
-
George Kordahi: Hizbullah ndio tatizo hasa kwa Saudia katika uhusiano wake na Lebanon
Nov 19, 2021 11:47Waziri wa Habari wa Lebanon amesema, tatizo hasa la Saudi Arabia na nchi yake halitokani na matamshi aliyotoa yeye hivi karibuni, bali linahusiana na harakati ya muqawama ya nchi hiyo, Hizbullah.
-
Hizbullah: Saudia inataka kuudhoofisha muqawama Lebanon
Nov 15, 2021 11:43Afisa mwandamizi wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema lengo kuu la Saudi Arabia kuibua mzozo wa kidiplomasia baina ya Lebanon na nchi za Ghuba ya Uajemi ni kudhoofisha mrengo wa muqawama na kulipigisha magoti taifa hilo la Kiarabu.
-
Sayyid Nasrullah: Nchi za Kiarabu zimekiri kwamba Syria imeibuka na ushindi
Nov 12, 2021 07:52Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa nchi za Kiarabu hatimaye zimekiri kwamba Syria imeibuka na ushindi.
-
Hizbullah yaitaka Saudia iache kuingilia mambo ya ndani ya Lebanon
Nov 11, 2021 08:03Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon ameitaka Saudi Arabia ikome kabisa kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo, huku mgogoro wa kidiplomasia baina ya nchi mbili hizo za Kiarabu ukiendelea kutokota.
-
Hizbullah yaitaka Saudia iiombe radhi Lebanon
Nov 06, 2021 03:25Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema Saudi Arabia inapaswa kuliomba radhi taifa la Lebanon kutokana na mienendo yake ya kiuhasama dhidi ya wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Matamshi ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia dhidi ya makundi ya muqawama Asia Magharibi
Nov 02, 2021 12:23Faisal bin Farhan al-Saud, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amesema katika mahojiano na Kanali ya Televisheni ya al-Arabiya kwamba, matatizo na mvutano wa nchi yake na Lebanon ni zaidi ya matamshi ya waziri wa habari wa nchi hiyo, kwani Saudia haikubaliani kabisa na suala la kupata nguvu waitifaki wa Iran nchini Lebanon na katika eneo la Asia Magharibi kwa ujumla.
-
Sababu na malengo ya mashinikizo mazito ya Saudia na washirika wake dhidi ya Lebanon
Nov 02, 2021 00:58Saudi Arabia imemwita nyumbani balozi wake mjini Beirut ikiwa ni jibu kwa matamshi yaliyotolewa na Waziri wa Habari wa Lebanon kuhusu vita vya Yemen. Riyadh pia imemfukuza balozi wa Lebanon nchini Saudi Arabia.
-
Wanachuo wa Iran waunga mkono kauli ya waziri wa Lebanon dhidi ya Saudia
Nov 01, 2021 03:07Wanafunzi wa Vyuo Vikuu vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wametangaza kuunga mkono matamshi ya Waziri wa Habari wa Lebanon, George Kordahi ya kulaani mashambulio ya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia dhidi ya Yemen.
-
Al Bukhaiti: Lengo la Saudia ni kuwapigisha magoti wananchi wa Lebanon
Oct 31, 2021 02:21Mjumbe wa Baraza la Kisiasa la Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kuwa hatua ya Saudi Arabia ya kumfukuza balozi wa Lebanon nchini humo ni kujaribu kuwapigisha magoti wananchi wa Lebanon na kuwafanya watumwa wake.