-
Waziri Mkuu wa Libya atakiwa kuunda haraka serikali ya mpito
Feb 25, 2021 03:51Baraza Kuu la Serikali ya Libya limemtaka Abdulhamid al-Dabaiba Waziri Mkuu wa nchi hiyo kuunda serikali yake haraka iwezekanavyo.
-
Serikali ya mpito ya Libya yafanya kikao chake cha kwanza tangu kuchaguliwa
Feb 22, 2021 02:56Ofisi ya habari ya waziri mkuu wa serikali ya mpito ya Libya imetangaza kuwa kikao cha kwanza cha serikali hiyo kimefanyika baada ya wajumbe wake kuchaguliwa kupitia baraza la mazungumzo lililofanyika mjini Geneva, Uswisi.
-
Libya yawanusuru wahajiri 1,500 katika pwani ya nchi hiyo
Feb 11, 2021 12:27Gadi ya Pwani ya Libya imefanikiwa kuwaokoa wahajiri haramu 1,500 waliokuwa hatarini kuzama katika maji ya pwani ya magharibi ya nchi hiyo katika kipindi cha wiki moja iliyopita.
-
Majukumu ya mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa nchini Libya na changamoto zake
Feb 10, 2021 23:34Hatimaye Ján Kubiš, mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ameanza kazi zake rasmi ikiwa ni baada ya kupita miezi kadhaa ya mazungumzo ya amani ya nchi hiyo ya kaskazni mwa Afrika na mwezi mmoja tangu ateuliwe kushika wadhifa huo.
-
Mjumbe mpya wa Umoja wa Mataifa kuhusu Libya aanza kazi rasmi
Feb 08, 2021 15:37Mjumbe maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu Libya leo Jumatatu, Februari 8, 2021 ameanza kazi rasmi.
-
Waziri Mkuu mpya wa Libya apewa siku 21 kuunda serikali
Feb 06, 2021 13:52Waziri Mkuu mpya wa Libya amepewa siku 21 kuwa ametangaza serikali mpya baada ya kupasishwa kwa wingi wa kura za baraza la mazungumzo ya amani ya Libya.
-
Menfi achaguliwa rais wa muda nchini Libya, al-Dabaiba waziri mkuu
Feb 06, 2021 04:46Mohammed al-Menfi amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa Baraza la Urais la Libya huku Abdulhamid al-Dabaiba akichaguliwa kuwa waziri mkuu katika zoezi ambalo limesimamiwa na Umoja wa Mataifa siku ya Ijumaa. Wajumbe kutoka kambi hasimu nchini Libya wameafiki kunda serikali hiyo ya mpito katika kikao ambacho kimefanyika karibu na mji wa Geneva nchini Uswisi.
-
Wanamgambo wa Haftar wapigana wao kwa wao katika mji wa Sirte, Libya
Feb 02, 2021 11:16Duru za habari zimearifu kuwa, wanamgambo wanaoongozwa na Jenerali muasi Khalifa Haftar kamanda wa vikosi kwa jina la jeshi la kitaifa la Libya wamepigana wao kwa wao katika mji wa Sirte huko Libya.
-
Wagombea wa Baraza la Urais la Libya watangazwa
Jan 31, 2021 07:43Mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Libya ametangaza orodha ya wagombea wa Baraza la Urais na kiti cha Waziri Mkuu nchini humo.
-
Maiti 139 zagunduliwa katika makaburi ya umati Libya
Jan 23, 2021 11:52Jumla ya maiti 139 zimegunduliwa katika makaburi ya umati katika mji wa Tarhauna, magharibi mwa Libya tokea mwezi Juni mwaka uliopita 2020 hadi sasa.