-
Afrika Kusini yaongeza muda wa kuhudumu wanajeshi wake huko Msumbiji
Apr 14, 2022 07:13Mkuu wa jeshi la Afrika Kusini ametahadharisha kuwa magaidi waliopo Msumbiji lazima washughulikiwe kabla ya tatizo hilo kuenea mbali zaidi.
-
Raisi atoa mwito wa kustawishwa uhusiano wa Iran na Msumbiji
Feb 23, 2022 02:51Rais Ebrahim Raisi wa Iran ametoa mwito wa kuboreshwa uhusiano wa pande mbili baina ya Jamhuri ya Kiislamu na Msumbiji katika nyuga tofauti.
-
Watu 19 waaga dunia kutokana na athari za kimbunga 'Ana' Malawi
Jan 27, 2022 07:49Idara ya Kitaifa ya Kupambana na Majanga ya Malawi imesema watu 19 wamefariki dunia kutokana na kimbunga kikali cha kitropiki kilichopewa jina la Ana katika maeneo ya kusini mwa nchi hiyo.
-
Kimbunga 'Ana' chaua watu 34 Madagascar, 2 Msumbiji
Jan 26, 2022 12:13Makumi ya watu wameaga dunia kutokana na kimbunga kikali kilichoipiga Madagascar kwa siku kadhaa sasa.
-
Jeshi la Msumbiji lamuua kiongozi wa waasi wa chama kikuu cha upinzani
Oct 12, 2021 08:04Kinara wa mrengo wa waasi wa Renamo, iliyokuwa harakati ya waasi na ambayo sasa ni chama kikuu cha siasa cha upinzani nchini Msumbiji ameuawa na wanajeshi wa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Askari watoto wakombolewa na wanajeshi wa Msumbiji
Oct 06, 2021 12:45Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umesema vikosi vya serikali ya Msumbiji vimefanikiwa kuwakomboa watoto waliosajiliwa kwa nguvu na kutumiwa vitani na genge la kigaidi la al-Shabaab kaskazini mwa nchi hiyo ya kusini mwa Afrika.
-
Rais wa Msumbiji ataka magaidi wajisalimishe baada ya kinara wao kuuawa
Oct 05, 2021 08:10Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ametoa mwito kwa magenge ya kigaidi kusalimu amri baada ya kinara wao kuuawa hivi karibuni kaskazini mwa nchi.
-
Magaidi 19, akiwemo kamanda wa ngazi ya juu, wauawa Msumbiji
Oct 03, 2021 12:45Magaidi 19, akiwemo kamanda wa ngazi ya juu wa genge moja la kigaidi, wameuawa katika operesheni ya kiusalama iliyofanywa na wananjeshi wa kieneo huko kaskazini mwa Msumbiji.
-
Umoja wa Ulaya kutoa mafunzo kwa jeshi Msumbiji ili kupambana na Daesh
Jul 13, 2021 10:06Umoja wa Ulaya umeanzisha rasmi kampeni ya kijeshi ya kutoa mafunzo kwa vikosi vya ulinzi vya Msumbiji vinavyopambana na wanamgambo wenye mfungamano na kundi la kigaidi la Daesh huko katika mkoa wa kaskazini wa Cabo Delgado.
-
Ijumaa tarehe 25 Jun 2021
Jun 25, 2021 03:27Leo ni Ijumaa tarehe 14 Dhulqaada 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe 25 Juni mwaka 2021.