-
Wizara ya Ulinzi Niger: Watu 1200 wameuawa katika mashambulio ya kigaidi
May 30, 2022 07:40Wizara ya Ulinzi ya Niger imetangaza kuwa, kwa akali watu 1200 wameuawa nchini humo tangu mwaka 2013 hadi sasa kufuatia mashambulio mbalimbali ya kigaidi.
-
Shambulio la anga la Nigeria laua watoto saba, lajeruhi watano nchini Niger
Feb 21, 2022 07:44Watoto saba wameuawa na wengine watano wamejeruhiwa katika shambulio la anga ambalo imeelezwa kuwa limefanywa kimakosa na jeshi la Nigeria katika eneo la Maradi kusini mwa Niger.
-
Magaidi 100 wa Al Qaida wauawa katika mpaka wa Burkina Faso na Mali
Dec 15, 2021 08:07Mamluki 100 wenye mfungamano na kundi la kigaidi la al Qaida wameuawa katika oparesheni za pamoja kati ya Burkina Faso na Niger katika mpaka wa nchi mbili hizo.
-
Rais wa Niger akosoa udhaifu wa nchi jirani katika kupambana na ugaidi
Dec 09, 2021 04:39Rais wa Niger amezikosoa nchi jirani katika mapambano ya kukabiliana na ugaidi na magendo ya silaha kutoka Libya katika eneo la Sahel Afrika.
-
Zaidi ya watu 100 wauawa katika shambulio dhidi ya kambi ya jeshi Niger
Dec 05, 2021 15:38Shambulio la kigaidi dhidi ya kambi moja ya jeshi magharibi mwa Niger limepelekea zaidi ya watu 100 kuuawa na makumi ya wengine kujeruhiwa.
-
Upinzani dhidi ya wanajeshi wa Ufaransa waongezeka Niger, Burkina Faso
Nov 28, 2021 02:51Asasi za kitaifa za Niger zimeendelea na harakati kama za wananchi wa Burkina Faso za kufanya maandamano ya kupinga kuwepo wanajeshi wa Ufaransa katika nchi hizo.
-
Wanne wajeruhiwa Burkina Faso katika kupinga msafara wa kijeshi wa Ufaransa
Nov 21, 2021 08:12Vyombo vya habari vimeripot kwamba raia wanne wa Burkina Faso wamejeruhiwa katika malalamiko ya kupinga kupita nchini humo msafara wa kijeshi wa Ufaransa kuelekea nchi jirani ya Niger.
-
Niger kununua silaha na zana za kijeshi kutoka Uturuki
Nov 21, 2021 03:02Niger na Uturuki zimetangaza kufikia makubaliano ambayo yanajumuisha kuiuzia Niger silaha mbalimbali zikiwemo ndege zisizo na rubani (droni) na magari ya kivita ili kuongeza uwezo wake wa kijeshi katika kukabiliana na makundi ya kigaidi.
-
25 wauawa katika shambulio la wabeba silaha Niger
Nov 18, 2021 02:57Watu wasiopungua 25 wameuawa katika shambulio la watu waliobeba silaha huko kusini magharibi mwa Niger.
-
Wanafunzi 26 waaga dunia katika mkasa wa moto shuleni Niger
Nov 09, 2021 03:23Wanafunzi wasiopungua 26 wameaga dunia katika mkasa wa moto ulioikumba shule moja nchini Niger.