-
Utafiti: Polisi ya Marekani imeua raia 700 ndani ya miezi 7
Aug 05, 2022 01:14Mamia ya raia wameuawa na askari polisi wa Marekani tokea mwanzoni mwaka huu 2022 hadi sasa, huku duru mbalimbali zikiendelea kulaani ukatili wa polisi ya nchi hiyo dhidi ya raia hususan Wamarekani wenye asili ya Afrika.
-
Polisi ya Taliban Afghanistan yaanza kuajiri askari wanawake
Jun 09, 2022 12:20Maafisa wa Idara ya uajiri katika jeshi la polisi la mkoa wa Balakh nchini Afghanistan wamesema jeshi hilo limeanza kuandikisha wanawake watakaoajiriwa kuhudumu kama askari.
-
Mkuu wa Jeshi la Polisi ya Tanzania: Polisi itakagua yanayofundishwa nyumba za ibada
Sep 11, 2021 13:30Jeshi la Polisi Tanzania limesema kuwa litakuwa likipita katika nyumba za ibada kukagua mafunzo wanayofundishwa watoto katika madrasa na shule za Jumapili (Sunday Schools) kufahamu aina ya mafundisho yanayotolewa.
-
Wabunge Ufaransa wakosoa kuteuliwa afisa wa UAE kuongoza Interpol
Jun 19, 2021 05:10Makumi ya Wabunge wa Ufaransa wamelalamikia hatua ya kuteuliwa afisa wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kuwa Rais wa Polisi ya Kimataifa (Interpol).
-
Polisi ya Nigeria yafyatua gesi ya kutoa machozi katika maadhimisho ya Siku ya Demokrasia
Jun 13, 2021 02:50Polisi wa Nigeria wamefyatua gesi ya kutoa machozi kutawanya waandamanaji wanaopinga serikali huko Lagos na katika mji mkuu, Abuja, na ripoti zinasema kuwa baadhi ya wanaadamanaji hao wakamatwa na wengine kujeruhiwa.
-
Amnesty yasema Nigeria inajaribu kuficha mauaji ya raia mjini Lagos
Jan 29, 2021 07:46Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeituhumu serikali ya Nigeria kuwa inafanya jitihada za kuficha mauaji ya kutisha ya wananchi waliokuwa wakiandamana katika mji wa Lagos mwezi Oktoba mwaka uliopita.
-
Mahakama ya Uganda yaiamuru polisi imuondolee Bobi Wine kizuizi cha nyumbani
Jan 25, 2021 12:42Mahakama nchini Uganda imeamuru vikosi vya usalama vya nchi hiyo viondoe mzingiro vilioweka kwenye nyumba ya kiongozi wa upinzani Robert Kyagulanyi, maarufu kama Bobi Wine, ambaye yuko kwenye kizuizi cha nyumbani tangu ulipofanyika uchaguzi wa rais januari 14.
-
Serikali ya Ufaransa yafutilia mbali muswada wa marufuku ya kupigwa picha polisi
Dec 03, 2020 02:37Serikali ya Ufaransa imefutilia mbali muswada iliokuwa umeuwasilisha bungeni kwa ajili ya kupiga marufuku upigwaji picha maafisa wa polisi wanapokuwa wanatekeleza majukumu yao, na hilo limetokana na ukosolewaji mkali uliofanywa dhidi ya utendaji wa jeshi la polisi.
-
Maandamano makubwa ya kupinga vitendo vya polisi vya utumiaji mabavu na ubaguzi nchini Ufaransa
Dec 01, 2020 02:35Kufuatia kuongezeka migogoro ya kijamii na kisiasa nchini Ufaransa katika miezi ya hivi karibuni, kumeshuhudiwa ongezeko la vitendo vya polisi vya utumiiaji mabavu na ubaguzi wa rangi. Maovu hayo ya polisi ya Ufaransa yamepelekea kuibuka maandamano makubwa ya wananchi wanaolalamikia hali hiyo.
-
Mkumi ya maelfu ya askari wa Iraq kushiriki katika ulinzi wa maombolezo ya Ashura
Aug 25, 2020 11:49Mkuu wa Jeshi la Polisi la Karbala Iraq amesema, askari 30 elfu wamewekwa tayari kwa ajili ya kulinda usalama wa wafanya ziara na waombolezaji wa Ashura ya Imam Husain AS.