-
Rais wa Somalia apatwa na COVID-19 baada ya kuitembelea Imarati
Jun 25, 2022 11:51Rais wa Somalia amesema amejiweka karantini baada ya kugundua kuwa ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19.
-
Rais wa Tunisia apasisha kufutwa Uislamu katika katiba ya nchi hiyo
Jun 24, 2022 01:16Rais wa Tunisia, Kais Saied alitangaza Jumanne (tarehe 21 Juni) kwamba Uislamu hautakuwa tena dini ya serikali katika katiba mpya, ambayo itapigiwa kura ya maoni Julai 25, na kwamba jina la Uislamu halitakuwemo tena katika katiba mpya ya nchi hiyo.
-
Hatua na jumbe za kindumakuwili za Marekani kuhusiana na JCPOA na Iran
Jun 19, 2022 02:23Moja ya zilizokuwa nara na madai muhimu ya Marekani wakati Rais Joe Biden alipoingia madarakani ni kuirejesha Washington katika makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).
-
Putin: US, EU ziwajibishwe dunia ikitumbukia kwenye baa la njaa
Jun 18, 2022 11:29Rais Vladimir Putin wa Russia amesema ukoloni mamboleo ndio umesababisha migogoro wa kibinadamu inayoshuhudiwa katika sehemu mbalimbali duniani; na kwamba Marekani na nchi za Ulaya ndizo zinazopaswa kubebeshwa dhima iwapo dunia itatumbukia kwenye baa la njaa.
-
Raisi: Vikwazo vipya vinaonesha Iran ina haki ya kutoiamini Marekani
Jun 17, 2022 11:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani kwa upande mmoja kudai kuwa ina nia ya kweli ya kufanya mazungumzo na Iran na wakati huohuo inatangaza vikwazo vipya dhidi ya taifa hili kwa upande mwingine, inaonesha wazi kuwa Tehran ina haki kutoiamini Washington.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu juu ya kuimarishwa mahusiano ya Iran na Turkmenistan
Jun 16, 2022 09:28Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kislamu alisema Jumatano ya jana wakati alipokutana na Rais Serdar Berdimuhamedow wa Turkmenistan na ujumbe aliofutana nao kwamba, kustawisha na kuimarishwa kadiri inavyowezekana uhusiano wa Iran na Turkmenistan ni kwa maslahi ya nchi mbili.
-
Raisi: Iran na Turkmenistan zina uhusiano uliokita mizizi
Jun 15, 2022 12:25Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa pande mbili wa nchi hii na Turkmenistan ni wa kidugu na uliokita mizizi.
-
Maandamano makubwa kila pembe ya Marekani na mwito wa kuchukuliwa hatua kali zaidi za kudhibiti silaha moto
Jun 13, 2022 07:02Ongezeko kubwa la matukio ya ufyatuaji risasi dhidi ya halaiki nchini Marekani na kuongezeka pia idadi ya watu wanaouawa kwa mashambulio ya utumiaji wa silaha hizo kunakotokana na upuuzaji wa viongozi wa White House na mashinikizo ya lobi za watengezaji silaha, vimeibua wimbi kubwa la maandamano ya malalamiko ya raia wa nchi hiyo.
-
Rais Maduro wa Venezuela aitembelea Iran kwa ziara ya siku 2
Jun 11, 2022 02:40Rais Nicolas Maduro wa Venezuela aliwasili hapa Tehran jana Ijumaa kwa safari rasmi ya kikazi ya siku mbili ya kuitembelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kuondolewa vikwazo vya Magharibi, sharti la Moscow la kuuza chakula na mbolea nje ya Russia
May 29, 2022 03:26Rais Vladimir Putin wa Russia amesema kuwa, nchi yake haina tatizo na kuuza nje bidhaa za chakula na mbolea na kuikoa dunia na janga hilo, lakini tatizo ni kwa nchi za Magharibi zilizoiwekea vikwazo Russia na kukwamisha zoezi hilo. Amesema, iwapo nchi za Magharibi zitaondoa vikwazo, Moscow itaweza kuendelea kuuza chakula na mbolea kama zamani.